Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another unmarked road, Kenya is the father of unmarked roads in the World View attachment 2098357
FB_IMG_16433620253341811.jpg
 
We ni fala tu, hujui tofauti ya scheduled maintenance na power rationing. Vile tu hujui tofauti ya Transit Visa na Tourist Visa. 🤣🤣🤣🤣 Kuna mwingine kwenu au ni wewe ndio unategemewa?
huyo kilaza hata usijisumbue kumjibu, Imagine yeye ndio tegemeo lao hapa jf na akili kama hizo.
 
We ni fala tu, hujui tofauti ya scheduled maintenance na power rationing. Vile tu hujui tofauti ya Transit Visa na Tourist Visa. 🤣🤣🤣🤣 Kuna mwingine kwenu au ni wewe ndio unategemewa?
kwani sie si scheduled mentainance Kunyagiza ni Kunyagiza tu!

Umesikia vizuri kutakua na upungufu na hio ndio inaitwa rationing. Usiwe fala manze.
We jamaa sidhani kama Unaakili timamu 😂😂😂, ipo hivi, wakati marekebisho yanafanywa ndio yatasababisha upungufu wa umeme kwa muda ambao marekebisho hayo yanatekelezwa, yani; maintenance will cause rationing.. same case na uko kwenu .. we jamaa ni kilaza wawapi wewe.? 😂😂😂
 
Hakuna kitu kama same case, kwetu ni maintenance tu hakuna rationing. Power rationing ni kitu tofauti na scheduled maintenance. Huwezi badilisha meaning of words kwa dictionary to suit your agenda. 🤣🤣🤣
Image
 
Mkunya ni Mkunya!
 
UON IS THE BEST UNIVERSITY IN EAST AFRICA AND POSITION 10 IN THE CONTINENT.​

JUL
29
2020
0
By okachi
UON
UON
The latest Webometrics(July 2020 Webometrics) ranking of world universities has named University of Nairobi as the best University in East Africa and position 10 in Africa.
University of Nairobi is also among top 1000 best Universities in the world after it was ranked position 956.
Webometric ranking focuses on four parameters namely Presence, Impact,Openness and Excellence. In the four parameters , the UoN is position 198 in the presence rank, 1075 in impact, 749 in the openness rank and 1602 in excellence. The Ranking Web or Webometrics is the largest academic ranking of higher
nitafutiwe ranking ya UDOM
 
Hakuna kitu kama same case, kwetu ni maintenance tu hakuna rationing. Power rationing ni kitu tofauti na scheduled maintenance. Huwezi badilisha meaning of words kwa dictionary to suit your agenda. 🤣🤣🤣
Image
Mkunya ni mkunya tu siku zote, tutabishana mpaka asubuhi na kamwe hatuwezi elewana, hewallah si utumwa 🚶
 
Hakuna kitu kama same case, kwetu ni maintenance tu hakuna rationing. Power rationing ni kitu tofauti na scheduled maintenance. Huwezi badilisha meaning of words kwa dictionary to suit your agenda. 🤣🤣🤣
Image
Umeme wa Tanzania almost 60% unatokana na gas, gas haiishi ipo hata kwa miaka 100, tanesco wana flaws zao lakini sio kama sources za umeme wetu zimepungua
 
Back
Top Bottom