Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sikutaka kuchangia hii mada ila quotes zako zimenilazimu.
Mimi siyo mshabiki wa siasa na sizikubali siasa za bongo ila unapotaja viongozi huwezi sema mama samia ni kiongozi,shika adabu yako unakosea viongozi.
Unapokosea pakubwa ni kumfananisha huyo mama mbulula na Mheshimiwa Magufuli.
Magufuli alikua mtu aliyeweka nidhamu kazini,Magufuli ni mtu aliyeua social classes,Magufuli alikua ni mtu aliyeweka morali ktk kuchapa kazi,Magufuli ni mtu ambae aliangalia wananchi kwanza kuliko kingine,Magufuli ni kiongozi ambae alionesha mfano kuwa ukisema unatakiwa kutenda,Miradi mingi aliiweka ktk utekelezaji na ikawa inatekelezwa na inaenda kwa kasi.
Leo hii mama yenu mvaa ushungi ona anavyoizorotesha miradi,nidhamu ya kazi imeondoka kabisa ktk mashirika ya umma ya kiserikali,social class zimerudi,ukandamizwaji wa wanyonge hususan (wafanyabiashara wadogo wadogo)umerudi tena.
Nani ameuzorotesha uchumi kati ya Marehemu na Mama yenu mjambiani??
Embu kuweni na heshima msimfananishe Magufuli na vitu vya hovyo hovyo .
Wivu, 😆😆😆😆, kwani alizowapa mkuu wa Mkoa wa Dar kujenga masoko ya Jangwani alizitoa wapi?

Mume wenu mwendazake alioanzisha huo utaratibu mlikuwa wapi kumuuliza alikozitoa pesa? Kwa nini hamkumwambia kwamba ni Serikali inatoa sio yeye ila saizi mnawashwa washwa?..

Kwa taarifa yenu, serikali saizi ina pesa kama zote Kwa sababu sekta zote za Uchumi zinafanya vizuri..

Tulieni dawa iwaingie nyie sukuma gang.
 
Tz dar es salaam ugali wenye mboga 3 mfano ugali + samaki + njegere + dagaa = tsh 1000 sawa sawa na kenya ksh 50
Nauli ya basi dar ni tsh 400 hadi tsh600 kwa umbali wowote dar 24km au zaidi sawa sawa na kenya ksh20 to ksh30 bei ya bia ni tsh1000 had tsh 2000 sawa na kenya ksh50 to ksh100
Haya taja hizo bei kenya tuone
niliwaambia mtanganyika wa kawaida, hatawezana na bei za kenya, sa, egypt, uae etc.. heri tu wabaki kwao, huku ndiko watapata afueni
 
Put some respect to Kisumu, you can`t compare that village with Kisumu. Kisumu is clean with paved walkways throughout unlike Arusha where walkways are full of mud and dust.


So walk ways mean development.? 😂😂😂, Kichaa kweli wewe
 
Kisumu village center 👇
3039214_download_4.jpg
vs Chuga City center 👇
njoomoro_1639694461783426.jpg
3038285_E8vvsMGWQAQVjDx.jpeg
3039410_IMG_2338.jpg

Put some respect to Kisumu, you can`t compare that village with Kisumu. Kisumu is clean with paved walkways throughout unlike Arusha where walkways are full of mud and dust.


Kwa hizo clear photos hapo juu, unafkiri Kisumu Ina qualify city status.? 😂😂😂😂
 
kila nikiiangalia hii njia sipati majibu jinsi vituo brt vitakavyokaa maana nsona njia ni ndogo labda iwe direct
Njia ya BRT iko-reserved kati kati, pia BRT stations zitakuwa kati. Lakini pia BRT stations zitaunganishwa na stations za elevated metro rail. Kwenye hii picha ukiangalia kushoto Kwa Bagamoyo road kuna space wameacha na ndipo njia ya treni za mwendokasi ilipo. Then katikati ni BRT na stations zake.
0792D6CE-3D6A-4237-A636-06D91FC3AB71.jpeg



Hii illustration inaonyesha integration ya metro rail na BRT.
2CA27B0D-B767-452D-AABB-A142061012BF.jpeg
 
Serikali yetu ikona Land Rovers na Land Cruiser 76 series mingi sana. Hizo ndio gari za kufanya field work.
Hata huku zipo lakini hutumika kwa projects tuu halafu hizo gari sio comfortable kwa long safari waziri atachoka sana
 
Hawa vilaza hutia huruma sana. Yani mtu anafurahia serikali kumpa naibu waziri gari ya kifahari wakati wananchi wanapata stima kwa mgao. Sasa hiyo gari kubwa aliyopewa huyo waziri inasaidiaje mtanzania ambaye kesho na keshokutwa hatakuwa na stima coz of power rationing occassioned by the same leader in that fuel-guzzler? Akili ya kitanzania sijui inareason aje!
Tunampa kutokana na ukubwa wa GDP yetu on the ground considering the vastness of our country and state of rural roads Toyota Land Cruiser Vx ni best option that comes with comfy and reliability
 
Back
Top Bottom