Sijasema Magufuli hakuwa na makosa.
Halafu acha urongo hakukuwa na social classes kipindi cha Magufuli.Wasukuma na wazaramo walipewa haki sawa,habari za unanijua mm nani kisa una pesa km kipindi cha Kikwete zilikufa.Km masuala ya nepotism kwenye siasa kwa kiasi nakubali Magufuli alikua nayo.
Angalia vitu alivyofanya Magufuli na anayoyafanya mama utaelewa,km unaijua political science na polieconomics utaelewa kuwa mama yenu anaharibu kila uchwao.
Kaja na madai serikali haina pesa ndio maana miradi inazorota akaamua kupandisha tozo.Swali kipind cha Magufuli miradi ilikua inaenda kwa kasi na toka afe Magufuli ni mwaka tu hizo pesa serikalini hamna kvp??
Tuje ktk suala la umeme,hivi Tanzania kwa wiki inaweza salia bila umeme kukatwa??
Mbona kipindi cha Magufuli umeme ulikua sufficient?
Magufuli alikua anawezaje mama anashindwaje??
Halafu hiyo miradi kinyume na sharia naomba unitajie mkuu.