Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ni haki wakenya kutunanga kuhusu suala la umeme .. tatizo lililopo saiz sio power rationing.. ni uongozi uliopo! inakera ila basi tu.. nasubir 2025 nione mambo yatakavyokuwa
Unasemaje sio power rationing wakati tanesco wenyewe wanasema hivyo? Do you know better than tanesco? Shida ya umeme mmekuwa nayo tangu jadi coz even your production level is way below for a country of 60 million people. Hata sisi tunagenerate umeme nyingi kuwaliko. Sijui zile electric train zenu mtatumia makaa kuziendesha ama mtazisukuma kama mwendo ni huu wa power rationing!
 
Sikutaka kuchangia hii mada ila quotes zako zimenilazimu.
Mimi siyo mshabiki wa siasa na sizikubali siasa za bongo ila unapotaja viongozi huwezi sema mama samia ni kiongozi,shika adabu yako unakosea viongozi.
Unapokosea pakubwa ni kumfananisha huyo mama mbulula na Mheshimiwa Magufuli.
Magufuli alikua mtu aliyeweka nidhamu kazini,Magufuli ni mtu aliyeua social classes,Magufuli alikua ni mtu aliyeweka morali ktk kuchapa kazi,Magufuli ni mtu ambae aliangalia wananchi kwanza kuliko kingine,Magufuli ni kiongozi ambae alionesha mfano kuwa ukisema unatakiwa kutenda,Miradi mingi aliiweka ktk utekelezaji na ikawa inatekelezwa na inaenda kwa kasi.
Leo hii mama yenu mvaa ushungi ona anavyoizorotesha miradi,nidhamu ya kazi imeondoka kabisa ktk mashirika ya umma ya kiserikali,social class zimerudi,ukandamizwaji wa wanyonge hususan (wafanyabiashara wadogo wadogo)umerudi tena.
Nani ameuzorotesha uchumi kati ya Marehemu na Mama yenu mjambiani??
Embu kuweni na heshima msimfananishe Magufuli na vitu vya hovyo hovyo .
Umesahau social classes za Sukumagang sio? kupewa miradi ya taasisi za kitaifa kuifanya level ya Halmashauri kinyume na sheria za nchi? Umesahau watu waliporwa fedha na sukumagang na hat hazikuingizwa serikalini, ule si ujambazi? Dotto James atueleze fedha za Bureau de Change zilizofungwa zilienda wapi? Mbona hamna records?
 
Hawa vilaza hutia huruma sana. Yani mtu anafurahia serikali kumpa naibu waziri gari ya kifahari wakati wananchi wanapata stima kwa mgao. Sasa hiyo gari kubwa aliyopewa huyo waziri inasaidiaje mtanzania ambaye kesho na keshokutwa hatakuwa na stima coz of power rationing occassioned by the same leader in that fuel-guzzler? Akili ya kitanzania sijui inareason aje!
Unatamani ingekuwa hivi lkn ndio haiwezekani kukuwa hivi (in makenya voice )

Tz hakuna power rationing na haitokuja kutokea, hilo suala la power rationing lilikuwepo enzi za Kikwete na Mkapa cz enzi hizo kulikuwa na upigaji (hasa enzi za Kikwete) wala hakukuwa na uhaba wwt kupelekea power rationing, kinachotokea kwa ss ni watu fulani bado wanataka kufidia ufisadi walioukosa enzi za Magu na hawatoweza nisikilize mm.
 
I realized your Intelligent Quotient is abit low,so I'll decide to just ignore your reply.
until unanionyesha ramps kwa modern international airports! Kwani mnapitisha ngamia ama? Truth to be told, Design ya uwanja wenu ni Medieval era!

Hapa Mauritius sioni!
Sir Seewoosagur Ramgoolam International Airport
Mauritius_Airport_View.jpg

Hapa jnia sioni
1738753_E529A393-3AF5-4ED8-A780-FD279A4DF487.jpeg

26c934c8507950930f197d1f3c772dca.jpg
 
Umesahau social classes za Sukumagang sio? kupewa miradi ya taasisi za kitaifa kuifanya level ya Halmashauri kinyume na sheria za nchi? Umesahau watu waliporwa fedha na sukumagang na hat hazikuingizwa serikalini, ule si ujambazi? Dotto James atueleze fedha za Bureau de Change zilizofungwa zilienda wapi? Mbona hamna records?
Nasikia Kenya kuna ukabila? Kumbe sukumagang nayo ipo! 😂 😂 maajabu ya Musa
 
Unatamani ingekuwa hivi lkn ndio haiwezekani kukuwa hivi (in makenya voice )

Tz hakuna power rationing na haitokuja kutokea, hilo suala la power rationing lilikuwepo enzi za Kikwete na Mkapa cz enzi hizo kulikuwa na upigaji (hasa enzi za Kikwete) wala hakukuwa na uhaba wwt kupelekea power rationing, kinachotokea kwa ss ni watu fulani bado wanataka kufidia ufisadi walioukosa enzi za Magu na hawatoweza nisikilize mm.
Mbona kwa kukana vitu tushwazoea? Denial is in your DNA bongolalas. Sasa wewe unakana mgao haipo wakati tanesco who are responsible for your country's power generation, wanasema rationing ipo. Sasa wewe hapo Tandale unajua kuliko viongozi wa tanesco?
 
Aisee wapi hii Kawe au? Nicxie akiona hivi Mavi yanagonga chupi yanarudi
Mr degree, miradi kama hii yamejaa Nairobi. Hizi boxes na dormitories are everywhere you look in Nairobi. Yani Ni mambo tumezoea huku Nairobi coz yalianza kitambo. But we understand why it's a big deal uko kwenu
 
Back
Top Bottom