Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thus is mbita some village in Nyanza but see the road then you get a full man here from Tanzania talking about flyovers 🤦🏿‍♂️ things that now even village roads get .. sometimes I pity and question if we really doing the right thing here
20220113_205126.jpg
 
Thus is mbita some village in Nyanza but see the road then you get a full man here from Tanzania talking about flyovers 🤦🏿‍♂️ things that now even village roads get .. sometimes I pity and question if we really doing the right thing hereView attachment 2079791
Sasa cha ajabu na hiyo structure ni ipi? Ivi mbona ninyi ni malimbukeni mno, mkiona tu kastructure kameelevate hata meters 3 juu basi ni unusual and need extra attention 😂😂😂🚮🚮

Ushamba mzigo
 
Super highway iko na zebra eti kusubiria magari kuingia na kutoka alafu eti kuna round about katika kila service lane
Upuuzi mtupu...

Waje msa wa take notes!!hakuna bugdha, unaingia na kutoka wakati wowote kwenye highwayView attachment 2079328
JamiiForums mobile app
Hili ndio jiji Wabongo wanataka kulinganisha na Mwanza. Watu ni wagonjwa. Hivi Mwanza kuna dual carriageway hata? 🤣🤣
 
Ila ninyi wawili I suspect ni mtu mmoja, mnajazana ujinga weee na kusapotiana, na inaonekana hata hamjawi toka hapo mlipo

Hivi kuna mtu mwenye akili kweli anaweza kusema hii mikoa Kigoma yote kwenda Kagera,Tabora,Katavi ni vumbi tupu.

Mbeya to Singida,Tabora vumbi tupu,Arusha to Mara,Simiyu vumbi tupu, Morogoro to Njombe,Ruvuma vumbi tupu?

Hii mikoa napita kila leo, yaani mpaka namuonesha jamaa yangu hapa tunakauka kucheka
Sijataka kumvunja moyo jamaa yako...fuatilia points zake zinakuja zinakataa hivi...haeleweki
 
Sasa cha ajabu na hiyo structure ni ipi? Ivi mbona ninyi ni malimbukeni mno, mkiona tu kastructure kameelevate hata meters 3 juu basi ni unusual and need extra attention 😂😂😂🚮🚮

Ushamba mzigo
Ni maendeleo kama hizo hamna ndio maana tunazitaja. Mbona makasiriko?
 
Mzee sehemu inayookana kwenye picha hapo ni posta tu, na hakuna CBD hata moja NAIROBI ambayo iko na ukubwa sawa na posta. Vipi we ulisema mwaka huu utakua mtu mwema, lakini naona bado hujawa mwema, kazi yako ni ileile kusema uongo.. Kariakoo ni kubwa kuliko CBDs zenu zote tatu combined baba .. nje ya CBDs zenu kuna kipi cha maana zaidi ya apartments mzee.? na hicho ndio kitu mnatupiga gape, ila sio kwa ukubwa wa financial district kaka, battle mnayotuzidi nyinyi ni wingi wa real estate tu..
basi hiko ndicho walichozidi na huu ndiyo ukweli mbali na hapo hakuna kitu nairobi
 
Mbona serikali inashindwa kunyosha njia ili ni tatizo la kipumbavu sana kwanini saerkali inashindwa kuchora mstari mnyoofu kwenye barabara maana hayo maeneo bado ayajajengeka tazama hata hizo njia za vumbi zilivyo pinda pinda kama minyooo
upanga hujaonyesha.
Makumbusho - Morocco hujaonyesha
 
Back
Top Bottom