Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha vijisababu vya kifala hiyo barabara sio marked.. ngoja nikuonyeshe mfano wa picha za drone kwa barabara za bongo halafu tulinganishe na huo uchafu wenu, Kenyan road 👇 yenye poda na makeup 💄View attachment 2079992vs tanzanian road 👇bila poda wa makeupView attachment 2079994ila markings zinaonekana clear kabisa
The same road unasema haina markings ndio hii hapa.
images(161).jpg
images(159).jpg
images(157).jpg
images(156).jpg
images(154).jpg

Shugulika na ya Dar, ya Nairobi huwezani nayo!
 
nna shindwa sana na wewe mpunga. iweje hasa una expect nairobi sawa tu na beijing ama paris, iliomo vizuri sana ndani ya nchi kavu iwe na bridges.. bridges ya nn.? kila muundo msingi huku ina sababu na sio monument ama maridadi
 
Taja kitu Dar inazidi nayo Nairobi kando na population


Nikimbie una nini wewe? Hebu leta interchanges tano kama hizo hapo Dar ndio tujue kati yangu nawe nani anawezakimbia
Pitia juu hapo .. unajisahaulisha eeh..?
 
BRT tunajenga Kijana wa Tandale. Madaraja sijui unategemea tuyajenge Nairobi kufanyia nini.
 
nna shindwa sana na wewe mpunga. iweje hasa una expect nairobi sawa tu na beijing iliomo vizuri sana ndani ya nchi kavu iwe na bridges.. bridges ya nn.? kila muundo msingi huku ina sababu na sio monument ama maridadi
Madaraja yanaweza jengwa hata kwenye mito fala wewe, Nairobi hakuna mito.? Mnapata wapi maji.? .. na umeona Madaraja tu, hujaona kitu kingine nimeweka kwenye hiyo post 😂😂😂 Dah it's so sad .. huna pakutokea
 
BRT tunajenga Kijana wa Tandale. Madaraja sijui unategemea tuyajenge Nairobi kufanyia nini.
Hemb tuone hiyo BRT 😂😂. Kwa mfano sisi tunajenga brt ..na hii hapa ni 👇
dodoma_zone__1638984782739393.jpg
leta na wewe yakwenu mnayojenga tuone.. alafu unazungumzia Vitu ambavyo havi exist 😂😂 Dah.!! Huruma kwakweli, in short there is no BRT in Nairobi.. kwahyo piga kimya mzee usilete aibu zako hapa
 
I have told you that's a drone footage. Does it change the fact that the pictures I have shared with you showing clearly marked roads is outering rd. Ama ni desperation inakuumiza?
Mimi huyo.? 😂😂, Wewe ndio ulileta picha na ndio nazitumia kama silaha.. kama vijisababu vyako ni drone nimekuinyesha picha mbili zote zimepigwa kwa drone 👇
JamiiForums-1399999637.jpg
vs 👇
maxresdefault(60).jpg
lakini picha moja inaonyesha barabara yenye iko marked na nyingine haiko marked .. au nasema urongo.? Usiniletee picha za zamani naakati current photos zipo bhana
 
Nimekuambia ulete interchanges tano and then you are making reference to unrelated post. Huna jibu?
We sindio ulitaka vitu ambavyo Dar inaishinda NAIROBI nje ya population.? Na nikakuonyesha, Sasahiv umebadilisha gea angani.? 😂😂😂
 
Hemb tuone hiyo BRT 😂😂. Kwa mfano sisi tunajenga brt ..na hii hapa ni 👇View attachment 2080007leta na wewe yakwenu mnayojenga tuone.. alafu unazungumzia Vitu ambavyo havi exist 😂😂 Dah.!! Huruma kwakweli, in short there is no BRT in Nairobi.. kwahyo piga kimya mzee usilete aibu zako hapa
unnamed (4).jpg
unnamed (5).jpg
unnamed (5).jpg

Na yetu itatumia electric buses.

Sasa nionyeshe zile five interchanges nilikuitisha tuone 😂 😂
 
We sindio ulitaka vitu ambavyo Dar inaishinda NAIROBI nje ya population.? Na nikakuonyesha, Sasahiv umebadilisha gea angani.? 😂😂😂
Sema tu hakuna. Hautapigwa Kijana wa Tandale. Sisi huku zinapatikana hadi vijijini Mbita kule south Nyanza
 
😂😂😂 Ajabu kweli, station mbili.? Ndio BRT au.? buses ziko wapi.? BRT stands for B=BUS R=Rapid T=transit.. ila wewe umenionyesha vituo viwili then una claim kwamba mko na BRT 😂😂 HEB osha matako ukalale uko
Uzuri nimekuonyesha chenye uliitisha. Mimi bado nangoja five interchanges za Dar ila sioni hata dalili
 
Back
Top Bottom