Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtu akusaidie na maziwa hii bangi ni mingi
Nairobi inapigwa na Dodoma sababu Dom ina estates nyingi za maana lakini Nairobi ina slums nyingi kuliko estates za maana kitu ambacho Dodoma haina

Nafikiri umejionea pia namna Watanzania walivyowapita kimaisha, mitaa ni ya watu wa kawaida lakini kuna nyumba nzuri ambazo ni chini ya 10% ya Wakenya wanaweza kumiliki
 
Waste of taxpayers money. Yani highway imejaa level crossings, lanes hazina upana na barabara imejaa vilima na sharp turns so itakua na jam always. Ata ikue 20 lanes kila upande with level crossings ni bure tu maana itabidi magari yanangoja kuingia highway au watu kuvuka badala ikue express.
No pedestrian bridges. All adjoining roads ni vumbi tupu. Yani unaona kichochoro cha vumbi Kando ya barabara kinaitwa service lane.
 
Why would anyone even compare this to Thika road? Hii labda ulinganishe na Ngong road and Ngong road looks better because it passes through well organised areas with adjoining tarmaced roads.
Barabara ata haijafanyiwa cutting and filling ili iwe level. Its pure hogwash. Barabara haina footbridges iko na zebra crossing kando ya brt hadi unashangaa mdanganyika anavuka 8 lanes ya barabara namna gani. Haiko express.
 
nyeri
Screenshot_20220113-004544_YouTube.jpg
Screenshot_20220113-004645_YouTube.jpg
Screenshot_20220113-004109_YouTube.jpg
Screenshot_20220113-004923_YouTube.jpg
Screenshot_20220113-003621_YouTube.jpg
 
No pedestrian bridges. All adjoining roads ni vumbi tupu. Yani unaona kichochoro cha vumbi Kando ya barabara kinaitwa service lane.
Unaizingumzia vitu unavyoishia kuviona kwa picha tu mzee 😂😂 so sad.. kwamba hakuna pedestrian bridges 😂😂😂 umewahi kufika.?
 
Barabara ata haijafanyiwa cutting and filling ili iwe level. Its pure hogwash. Barabara haina footbridges iko na zebra crossing kando ya brt hadi unashangaa mdanganyika anavuka 8 lanes ya barabara namna gani. Haiko express.
🤣🤣🤣 Leo nimecheka yangu yote.
 
36/50
Nairobi inapigwa na Dodoma sababu Dom ina estates nyingi za maana lakini Nairobi ina slums nyingi kuliko estates za maana kitu ambacho Dodoma haina

Nafikiri umejionea pia namna Watanzania walivyowapita kimaisha, mitaa ni ya watu wa kawaida lakini kuna nyumba nzuri ambazo ni chini ya 10% ya Wakenya wanaweza kumiliki
lol,,,,,,stop running to dodoma village,,,,,lets deal with darislum first......dodoma hata airport haina haiwezani na isiolo
 
Hizi roundabout ni useless. Hazina umaana. Hapo wangeeka junction tu ya kawaida. Alafu kue na flyover hapa sababu nishaanza kuona jam na ajali zikitokea apa kwa hii junction mbovu. SAFETY! SAFETY!

Alafu ati hii ni 19km from Dar na kunakaa Marsabit kukauka na kitongoji duni
hizo ni world class mansions tanzania style......🤣🤣🤣🤣 uswazi hovel master ensuites
 
Why would anyone even compare this to Thika road? Hii labda ulinganishe na Ngong road and Ngong road looks better because it passes through well organised areas with adjoining tarmaced roads.
And this is the major highway going to Dar-is-a-slum .
 
Danganyika is a shithole country. Magufuli alikua ameminya freedom of speech hadi nje watu wanadhani Tanzania ni paradise kumbe uhalisia haukuwa unatangazwa na wanahabari ndio maana hakuna kitu kibaya kilikua kinatangazwa kutoka Tanzania.
Mama suluhu anaonekana amelegeza kamba kidogo maneno ya freedom of speech so kueni tayari kuona maajabu kutoka Tanzania. Tanzania kwa ukweli is an extremely poor country kuliko kenya with no proper education. Wasichana wanaolewa wakiwa shule za primary na polisi hawana uniform. View attachment 2079298
Hivi umeandika nini?ebu Sona tena ulichoamdika bro.
 
Back
Top Bottom