Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20220101-204915.png

Msichukulie Poa chengdu, hii interchange tu CBD zote za Nairobi zina ingia hapa na chenji inabaki
🤣🤣🤣🤣
 
Nafikiri US iendelee kushikilia pale pale kwenye GDP but not on ground
Bro hii Chengdu ni mji ambao upo ndani ya province inaitwa Sichuan ambapo ndani ya Sichuan kuna mji mwengine unaitwa Chongqing, hiyo kwa high-rises mbona ni New York .. Chongqing City👇
6035fee8e4b08d733c2a52ff.png
. Yani kwa kifupi US atafute tu wakubishana nae kuhusu maendeleo ila sio China.. and guess what bro, Chengdu ni mji wa 9 kiuchumi na Chongqing ni mji wa saba kiuchumi.. yani miji ya US ambayo inaweza angalau kuleta ushindani na miji ya china, haizid miji mitano .. China ni balaa bro
 
Huwezi kulinganisha Gni au per capital income bila kulinganisha PPP, hiyo $9000 ya Mchina inaweza kuizidi hiyo ya $50000 ya Wamarekani katika nguvu ya kununua bidhaa na huduma.
PPP ni hewa ndugu yangu. Nominal ndio kila kitu. yani kama pesa taslimu ndani ya mfuko kwa wakati huo huo
 
China kuhusu majiji tu, na kesi ya skyline, haina mpinzani .. Taijing City 👇
tianjin.jpg
tianjin-0.jpg
cityscape-tianjin-city-china-daytime-clear-blue-sky-october-background-horizontal-aerial-persp...jpg
20180113_211424000_iOS.jpg
5cb996d9498e079efef8b923.jpeg
bba90dc0545ddbfda365976515124218.jpg
chinese Manhattan .. Bro The best 007 njoo uone china walivyo wajeuri wameamua kuijenga New York kwao 😂😂😂, hii yujiapu financial district inapatikana ndani ya Taijing City 👇
merlin_152925999_408c1f92-9433-432e-ad7d-e6312d601ef5-jumbo.jpg
Yujiapu_Railway_Station(0).jpg
20170710152008_26911.jpg
DsAd5UoWkAAXIog.jpg
bro Tony254 pitia hapa uone vile US inalazwa chali na China. Jamaa wako na ujeuri wa kujenga the most vibrant financial district of New York, back home 😂😂😂.. wenyewe wanasema China wako na entire world in their country
 
Yaani huyu mchina acha tu atukopeshe mikopo ya kipuuzi. Yaani huyu ni mwehu.
 
China kuhusu majiji tu, na kesi ya skyline, haina mpinzani .. Taijing City View attachment 2065645View attachment 2065646View attachment 2065647View attachment 2065648View attachment 2065649View attachment 2065650chinese Manhattan .. Bro The best 007 njoo uone china walivyo wajeuri wameamua kuijenga New York kwao , hii yujiapu financial district inapatikana ndani ya Taijing City View attachment 2065651View attachment 2065652View attachment 2065653View attachment 2065654bro Tony254 pitia hapa uone vile US inalazwa chali na China. Jamaa wako na ujeuri wa kujenga the most vibrant financial district of New York, back home .. wenyewe wanasema China wako na entire world in their country
Hii sasa sifa. Huyu mchina ni balaa.
 

Hayo yote mnataja Miji ya katikati mwa China au Magharibi. Guseni Upande wa Mashariki ambao ndio mioyo ya China inadunda mshangae vizuri.
 
Back
Top Bottom