Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu kwa pamoja kabisa nawaombea kila la heri katika kusubiri mwaka mpya wa 2022, tumekuwa pamoja humu kwa muda mrefu japo tunakwaruzana lkn ukweli ni kwamba tumefunguana upeo kwa kiasi kikubwa sana

Ningependa kuwashukuru wote humu uwe Mtz, Mkenya, Mnyarwanda, Mganda, Mburundi n.k mapambano yaendelee mpk tuhakikishe EA ina lead Africa ktk suala zima la development, Mungu awabariki sana.

Cc ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe
babayao255 NDINDA Sama boy 255
game over tuusan Simon Mkwanzania Nicxie NairobiWalker komora096 dyfre Lwiva Tony254 MK254 Don YF noma sana Amari ntazana ntazana Walker255 mwaswast Magix Enga Janerose mzalendo Lusematic Shebby01

List inaendelea
Asante sana bro, mwaka huu 2022 ukawe mwema zaidi kwako, more money, more success .. one love .. lakini bila kusahau ni mwendo wa kuipambania bongo mpaka kieleweke
 
Wakuu kwa pamoja kabisa nawaombea kila la heri katika kusubiri mwaka mpya wa 2022, tumekuwa pamoja humu kwa muda mrefu japo tunakwaruzana lkn ukweli ni kwamba tumefunguana upeo kwa kiasi kikubwa sana

Ningependa kuwashukuru wote humu uwe Mtz, Mkenya, Mnyarwanda, Mganda, Mburundi n.k mapambano yaendelee mpk tuhakikishe EA ina lead Africa ktk suala zima la development, Mungu awabariki sana.

Cc ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe
babayao255 NDINDA Sama boy 255
game over tuusan Simon Mkwanzania Nicxie NairobiWalker komora096 dyfre Lwiva Tony254 MK254 Don YF noma sana Amari ntazana ntazana Walker255 mwaswast Magix Enga Janerose mzalendo Lusematic Shebby01 Chamoto LightYagami Tz_one eliakeem chongchung Naton Jr Fundi kitasa Ntaghacha Gwakagwaka IamLee Teargas

List inaendelea
Tuko pa1
 
Sijakurupuka mzee, nimefanya research zakutosha, mpaka unaona nimeitaja Chicago ujue sio suala la bahati mbaya, kwasababu nje ya Chicago sijui ningeweka mji gani ambao at least ungewezana na CHENGDU
Chengdu sio chochote kwa USA inatisha kwa miji yetu yakijinga uku Africa
 
Angalia hio picha vizuri. Mnaimport sana kutoka Kenya kushinda mnavyoexport kuelekea Kenya.
Hahahaha, hahaha, hahahaha
Tanzania ndio dume la mbegu ukanda huu, tunawapanda kichwani wote, mnatumia bidhaa za Tanzania kuanzia "Bongo Flavor", Chakula, Cement, Juices and Energy drinks, karatasi, mbao, nguzo za umeme, transforma za umeme, mafuta ya kupikia, Ceramics, Konyagi, Wines, .........
 
Ukweli mchungu
 
Mji wa Pili kwa ukubwa North Korea Nampho

images - 2022-01-01T003740.976.jpeg
images - 2022-01-01T003825.226.jpeg
images - 2022-01-01T003941.382.jpeg
images - 2022-01-01T003953.409.jpeg
images - 2022-01-01T004026.649.jpeg
 
Chengdu sio chochote kwa USA inatisha kwa miji yetu yakijinga uku Africa
Kutana na infrastructures in CHENGDU ambazo sio tu Chicago ila huwezi kutana nazo US nzima 👇 Chengdu international airport . Pitia review za watu mbali mbali in CHENGDU international airport 👇. . NB: chengdu has Two international airports.. chengdu subway 👇. Halafu uko hapa kitaja miji ya Africa 😂😂 you must be crazy
 
Hahahaha, hahaha, hahahaha
Tanzania ndio dume la mbegu ukanda huu, tunawapanda kichwani wote, mnatumia bidhaa za Tanzania kuanzia "Bongo Flavor", Chakula, Cement, Juices and Energy drinks, karatasi, mbao, nguzo za umeme, transforma za umeme, mafuta ya kupikia, Ceramics, Konyagi, Wines, .........
🤣🤣🤣🤣🤣 Nimependa ......... Dume la mbegu. ............ Tunawapanda................. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwahiyo huo mji wa China unaifananisha na mji upi Africa hii? Hivi Kwanini watu hamna hata mshipa wa aibu?

Kwenye uelewa mpana wa mambo tutasitiriana ila hata kilaza wa mwisho huwa na aibu ndio maana haendi uchi 😑
Hawa jamaa leo wameniacha hoi sana 😂😂😂 .. eti mtu kisa jealous tu anasema eti chengdu ni sawa na miji ya Africa 😂😂😂😂.. jinga kabisa
 
Alafu mtu anakwambia hayo co maendeleo, ss kama hayo co maendeleo tunafanya nn hapa kwenye huu uzi, mana 24/7 tunapost mambo yanayofanana na hayo tuki claim kwamba tunaendelea.
Itabidi tuwaulize watuambie maendeleo ni nini...? na sisi tupo hapa kufanya nini.? Mana 24/7 ni kupost barabara, reli, majengo mazuri ya kupendeza n.k.. sasa ikiwa hivi vyote sio maendeleo tunafanya nini hapa.?
 
Back
Top Bottom