Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kuna mtu alijua kucheza na akili ya watanzania ni Magufuli. The dude made them believe that Tanzania haina corona while at the same time encouraging them to use traditional medicine to stay safe. Safe from what when he made them believe kwao hakuna corona?

These are the same lies he told them about sgr and many other projects. Aliwaaminisha eti wao hawachukui mikopo, eti wao wanajenga kutumia pesa za ndani. Ila sasa mama kaja na kusema ukweli na hawapendi. Whoever said that uwongo ni mtamu kwa masikio hakukosea
JPM was a fool
 
Hata Rwanda inawashinda hawa mbwa, ona usafiri wa kistaarabu kule Rwanda.View attachment 2062285
Rwanda tunaipea mombasa. Usilinganishe vijiji na Kenya ndugu.
images%20-%202021-12-30T145955.741.jpg
 
Rwanda tunaipea mombasa. Usilinganishe vijiji na Kenya ndugu. View attachment 2062725

Kigali is one of the best cities in Africa with Classic infrastructure, well organized, safe, super clean, digitalized etc, unapoweka Kigali pamoja na mji mchafu unaonuka na uliojaa mashoga kama Mombasa ni kuikosea heshima Kigali.
mji unaonuka harufu mbaya ya kila aina ya ouzo kama Mombasa haupaswi kulingamishwa na Kigali .
IMG_8229.jpg

IMG_8228.jpg

IMG_8227.jpg

IMG_8226.jpg
 
Hili sinema sijui litaishia wapi, manake mwenda zake alijua kucheza vizuri na mazezeta ya bongo..lkn huyu naona akipigwa chini, wewe kwanza unaanzaje kumwambia mtz ukweli..

Mama nakushauri we kopa alafu ukijenga mwisho nenda jukwaani useme ni fedha za ndani, CAG akizingua unampa likizo ya mapema mbona jiwe aliweza kuishi na vipofu poa tu..waite wanyonge wataskia raha sana manake wengi wanatamani matajiri wafilisiwe ndio wawe level moja kw sababu wao wameridhika na unyonge.
Ma lazy hutakiwi kwenda nao na kasi ya dunia bana mama, kopa siri siri km mwenda zake alafu uone vile akina The best 007 watakua wanapiga kiuno kone zote za nchi..View attachment 2062365
House girl wa kikwete
 
Kenya GDP $106B VS Tz GDP $65B the difference is $41B Hii pekee inatoa picha tunayo kazi ya kufanya watz. Tukope tumalize miradi ya kimkakati labda inaweza badili hali ya uchumi kwa siku zijazo...let's hope tunaweza close gape apo baadae ...

Naona uwekezaji ukipaa sambamba na utalii...sijui kama inaweza punguza gap kwa kiasi gani
 
Huyu Mama ako na mawazo tofauti sana mbali na mwendazake. Hata corona aliwaambia ukweli ikabidi vilaza waache ujinga wa kutumia concortions wakumbatie sayansi.

Ndio hawa vilaza akina Joto la Jiwe, Ichoboy, The best007, Venus Star na wengineo kabla ya Mama kuwatoa ujinga
View attachment 2062658View attachment 2062660View attachment 2062661
FYI, ukiacha utofauti wa jinsia mama hajawahi kutofautiana na Magufuli hata eneo moja.

Kwenye corona Magu hakuwa kusema kwamba haikuwahi kuwepo na ndiyo maana ukaona nchi inachukua hatua mbalimbali ikiwemo kujifukiza.

Kwenye vaccine Magu hakuwahi kukataa vaccine isipokuwa alisema tuzichunguze kwanza.

Kwenye utekelezaji wa manifesto mama anatembea mule mule alimopita Magu na ndiyo maana miradi yote aliyoianzisha Magu inaendelea na imepiga hatua kubwa.

Shida inakuja kwamba Wakenya uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana na ndiyo maana mnashindwa kuelewa falsafa za Tz cz ni very complicated kwenu. Magufuli na Samia ndio wale wale, wanaongoza serikali ile ile, wanatumia manifesto ile ile na ndiyo maana hata slogan zao ni zile zile,
Hapa kazi tu na Kazi iendelee ni slogan ile ile. Tafuta cha kuongea lkn usije kuthubutu kuwatenganisha Magu na Samia japo kiuwezo hawafanani cz huwezi kumvalisha viatu vya Magu na vikamfit kiongozi yoyote yule hapa Afrika co tu Samia.
 
Kenya GDP $106B VS Tz GDP $65B the difference is $41B Hii pekee inatoa picha tunayo kazi ya kufanya watz. Tukope tumalize miradi ya kimkakati labda inaweza badili hali ya uchumi kwa siku zijazo...let's hope tunaweza close gape apo baadae ...

Naona uwekezaji ukipaa sambamba na utalii...sijui kama inaweza punguza gap kwa kiasi gani
Kenya ina GDP kubwa kuliko North Korea, hapo unasemaje mkuu?
 
FYI, ukiacha utofauti wa jinsia mama hajawahi kutofautiana na Magufuli hata eneo moja.

Kwenye corona Magu hakuwa kusema kwamba haikuwahi kuwepo na ndiyo maana ukaona nchi inachukua hatua mbalimbali ikiwemo kujifukiza.

Kwenye vaccine Magu hakuwahi kukataa vaccine isipokuwa alisema tuzichunguze kwanza.

Kwenye utekelezaji wa manifesto mama anatembea mule mule alimopita Magu na ndiyo maana miradi yote aliyoianzisha Magu inaendelea na imepiga hatua kubwa.

Shida inakuja kwamba Wakenya uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana na ndiyo maana mnashindwa kuelewa falsafa za Tz cz ni very complicated kwenu. Magufuli na Samia ndio wale wale, wanaongoza serikali ile ile, wanatumia manifesto ile ile na ndiyo maana hata slogan zao ni zile zile,
Hapa kazi tu na Kazi iendelee ni slogan ile ile. Tafuta cha kuongea lkn usije kuthubutu kuwatenganisha Magu na Samia japo kiuwezo hawafanani cz huwezi kumvalisha viatu vya Magu na vikamfit kiongozi yoyote yule hapa Afrika co tu Samia.
Eti Magufuli hakuwahi Sema eti Tanzania haina corona? Ni mara ngapi hata nyinyi hapa ndani mlizungumzia hili? Na hizi taarifa je?

Kuhusu kauli za Magu na SSH, ni mara ngapi nimeona mkikashifu baadhi ya maamuzi ya mama hadharani kwenye hili jukwaa? Kama maono yake yanaendana na ya Magu as you say, mbona hizi lalama zote?
 
Are you using that video to dispute the fact that Yapi Merkezie and your government signed a loan agreement two days ago?
Yapi is a loan institution or construction company? Elimu ya Kenya kila siku nasema ni mavi mnakasirika 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom