Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Km kuna jamaa ni tahira hapa jf basi wewe nambari moja, yani una copy na ku paste bila kuangalia km unaleta nn aisee
Ss nyie mnataka kujifananisha na Rwanda? Wale ni wastaarabu na miji yao misafi kama huku kwetu, fake GDP inaumbuliwa na maisha mnayoishi plus miji yenu michafu na ma slums yaliyotapakaa Kenya nzima.
 
Hili sinema sijui litaishia wapi, manake mwenda zake alijua kucheza vizuri na mazezeta ya bongo..lkn huyu naona akipigwa chini, wewe kwanza unaanzaje kumwambia mtz ukweli..

Mama nakushauri we kopa alafu ukijenga mwisho nenda jukwaani useme ni fedha za ndani, CAG akizingua unampa likizo ya mapema mbona jiwe aliweza kuishi na vipofu poa tu..waite wanyonge wataskia raha sana manake wengi wanatamani matajiri wafilisiwe ndio wawe level moja kw sababu wao wameridhika na unyonge.
Ma lazy hutakiwi kwenda nao na kasi ya dunia bana mama, kopa siri siri km mwenda zake alafu uone vile akina The best 007 watakua wanapiga kiuno kone zote za nchi..
FB_IMG_16408441819609533.jpg
 
Hivi vi farm viwili vitatu ndiyo vinafanya muongoze Africa? Unawazimu wewe, subiri kidogo tu itafaamika cz kwa ss tunauza wenyewe.
It's all about enterprising Kenyans bongolala. Avocados are grown mainly by small-scale farmers, mostly on less than one acre farms. The secret is that it's grown by hundreds of thousands of people across different counties. From Usain Gishu in North-rift Kenya to Kagundo in Eastern Kenya.

Did you know that Kenya is one of the leading producers of black tea in the world? And did you know that more than a half of that tea comes from small-scale farmers mostly on one acre farms and less?
Screenshot_20211230-090447~3.png

That is the same story with avocados
 
Ss nyie mnataka kujifananisha na Rwanda? Wale ni wastaarabu na miji yao misafi kama huku kwetu, fake GDP inaumbuliwa na maisha mnayoishi plus miji yenu michafu na ma slums yaliyotapakaa Kenya nzima.
Umerukia kw GDP tayari baada ya kukubana, nyie mna maisha gani basi in general..
Km malaya anapewa tsh 200 na anaachia yani shilingi 8 ya kenya, hapo sasa kuna maisha gani mzee
 
Sasa unalia nn? Ukweli ni kwamba hii reli kuna phase tumejenga kwa pesa za ndani na phase nyingine ni mkopo, shida ni kwamba mnataka tufanane kitu ambacho haitawahi kutokea, nyinyi ile upgraded MGR yote mmejengewa na wachina, cc uchumi wetu ni mkubwa na hauna madeni kama uchumi wenu wa mkopo na ndiyo maana tunasema Tz ina uchumi mkubwa kuliko the failed state.
Phase one was equally funded by loans bongolala. Mwenda zake aliwaaninisha uongo hadi raha

It's all about enterprising Kenyans bongolala. Avocados are grown mainly by small-scale farmers, mostly on less than one acre farms. The secret is that it's grown by hundreds of thousands of people across different counties. From Usain Gishu in North-rift Kenya to Kagundo in Eastern Kenya.

Did you know that Kenya is one of the leading producers of black tea in the world? And did you know that more than a half of that tea comes from small-scale farmers mostly on one acre farms and less? View attachment 2062364

That is the same story with avocados
Sikia nikwambie hamna farms za kulima avocado, ardhi yote ambayo ni arable wazungu wameichukua wanalima chai na maua, hii case ya avocado soon itafaamika.
 
Phase one was equally funded by loans bongolala. Mwenda zake aliwaaninisha uongo hadi raha

So $ 1.46bn ndiyo imejenga reli ya umbali wa 550km? Na kama co, je hizo pesa nyingine zimetoka wapi? Arguing with Kenyans is the wastage of time wallahi
Screenshot_20211230-094341.jpg
 
Phase one was equally funded by loans bongolala. Mwenda zake aliwaaninisha uongo hadi raha

Msifosi tufanane
Screenshot_20211230-094341.jpg
 
Phase one was equally funded by loans bongolala. Mwenda zake aliwaaninisha uongo hadi raha

For your information, phase one inaanzia Dar to Morogoro, 300km of railway line funded by GoT
 
Phase one was equally funded by loans bongolala. Mwenda zake aliwaaninisha uongo hadi raha

wazimu utakusumbua mpaka kiyama 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
leta ushahidi na ceremony kua tanzania ilichukua loan from which company au organization au bank yoyote phase one kama tulivochukua 1.4b stanbic bank

ukipata nitag nifunge acc
 
Back
Top Bottom