Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni contract nyingine Acha kubishia vitu usivyovijua .. reli yetu iko na 4 phases U/C, 1st phase ni serikali ndio ime finance, 2nd phase loan+gvt, 5th phase ni loan na 3rd phase ni loan pekee (hii ndio imekuwa signed juzi) .. acha kulazimisha mambo dadaangu
fifth sio loan ni gvt
91BCC6D9-B485-484E-A2DB-1B2673818625.png
 
Bongolala, you should b able to read and understand, sip kupayuka tu. Rais wenu amesema atakopa pesa Kutoka uturuki, wewe bado unakwamilia story ya Standard chartered, loan ambayo mlishapewa tiyari kufikisha reli porini. Soma hii taarif ujue Rais wako anaongelea nini kabla ya kutoa povu

This is a contract that was signed two days ago
Speech yote ni hii hapa, onyesha wapi amesema atakopa toka Uturuki, kawaida yenu Kenya kudanganya
 
Time travellers
Vibaka mpka leo dar simu wanaiba na zinatumika freshy tu mzee..
Si hta hku simu ukitaka kuzima unazima wakienda nayo..
Sema tu tu hilo ni swala la coalition, wacha tuone hyo mbinu watakayokuja nayo itadaidia au yatabaki yale yale ya manzese watu wanalizwa daily na simu bado zipo hewani
 
Hali chips mayai hyo, we unafikiria hao ni wale wanaume wa dar..
Dar moro chalinze tu tayri chali
 
Hii ni contract nyingine Acha kubishia vitu usivyovijua .. reli yetu iko na 4 phases U/C, 1st phase ni serikali ndio ime finance, 2nd phase loan+gvt, 5th phase ni loan na 3rd phase ni loan pekee (hii ndio imekuwa signed juzi) .. acha kulazimisha mambo dadaangu
Kijana wa Tandale, I have clearly stated that this loan agreement was signed two days ago meaning it's for the fourth phase. Jaribuni kusoma kitu watu wanaandika muelewa wanachosema. Sio kuja hapa na povu na feelings pasi na eulewa
 
ase.. contract tu povu kubwa hiv? mzigo ukianza kutembea si utajinyonga kwa kushikwa na uchungu wa wivu
Bongolala ni nchi ya kushikia wivu jamani? Tukiwakumbusha tu kwamba miradi yenu ni ya mikopo mbali na mnavyosema ni pesa zenu hiyo ni wivu?
 
Mama na unafiki ni vitu viwili tofauti kabisa
Huyu Mama ako na mawazo tofauti sana mbali na mwendazake. Hata corona aliwaambia ukweli ikabidi vilaza waache ujinga wa kutumia concortions wakumbatie sayansi.

Ndio hawa vilaza akina Joto la Jiwe, Ichoboy, The best007, Venus Star na wengineo kabla ya Mama kuwatoa ujinga
_116781198_gettyimages-1214805321.jpg
_114972590_gettyimages-1214805330.jpg~2.jpg
_112902692_mediaitem112902691.jpg~2.jpg
 
Imagine hawa ni watu wazima na wako hivi....Na je watoto..mafikira zao ziko aje?
Kama kuna mtu alijua kucheza na akili ya watanzania ni Magufuli. The dude made them believe that Tanzania haina corona while at the same time encouraging them to use traditional medicine to stay safe. Safe from what when he made them believe kwao hakuna corona?

These are the same lies he told them about sgr and many other projects. Aliwaaminisha eti wao hawachukui mikopo, eti wao wanajenga kutumia pesa za ndani. Ila sasa mama kaja na kusema ukweli na hawapendi. Whoever said that uwongo ni mtamu kwa masikio hakukosea
 
Back
Top Bottom