Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
why trick not real?Sharp slope na barabara ni T shaped ni tricky
why trick not real?Sharp slope na barabara ni T shaped ni tricky
Kwa kweli tunanyata sana kwa hiyo GDPKenya GDP $106B VS Tz GDP $65B the difference is $41B Hii pekee inatoa picha tunayo kazi ya kufanya watz. Tukope tumalize miradi ya kimkakati labda inaweza badili hali ya uchumi kwa siku zijazo...let's hope tunaweza close gape apo baadae ...
Naona uwekezaji ukipaa sambamba na utalii...sijui kama inaweza punguza gap kwa kiasi gani
Ndiyo mjue kwamba GDP ni upumbavu tu, sema Wakenya hamna akili thus y mnashindwa kuelewa kwamba hapa ni kama mna substantiate tunachosema.linganisha pia na idadi ya watu. eg. India ina trillions dollar 1.5, na Italy 1.1. nchi gani ilioendelea?
GDP haibadiliki licha ya kuonesha uwezo mkubwa wa kufanya miradi mikubwa na ya gharama ndefu, tuko pale pale kwenye 60s, don't you smell something fishy on this?Kwa kweli tunanyata sana kwa hiyo GDP

IMF na World Bank are economic experts. waulize wao. ata sisi hatujuiGDP haibadiliki licha ya kuonesha uwezo mkubwa wa kufanya miradi mikubwa na ya gharama ndefu, tuko pale pale kwenye 60s, don't you smell something fishy on this?View attachment 2063050View attachment 2063051
hapa watu are more experts in economy stuff kuliko worldbank na imf, usicheze na jamiiforum weweIMF na World Bank are economic experts. waulize wao. ata sisi hatujui
i see westland, CBD and upperhill + kilimani 🤣🤣🤣🤣🤣 imebaki nn???Hili ni eneo la parklands na ujenzi uko kwenye level nyingineView attachment 2062997
Use common sense and finally u will come to realize that GDP doesn't hold any water when talking about real life.IMF na World Bank are economic experts. waulize wao. ata sisi hatujui
ona... kenya population 47m for $109B gdp.GDP siyo kipimo halisi cha maendeleo ukae ukijua hilo kwanza.
leo nimekua Gikomba.. wah!. nimeshangazwa sana vile watanganyika wameongezeka huku maradufu.! hapo nyumae hawakua wengi hivi... its high time gov't ifanye jambo. i fully concur with MP. jaguar kanyi. watanganyika kibao tu sana! and especialy wa Chagga 🤔. mbona wasiende zambia ama mozambique. mbona kenya. size of economy ndio hoja kuu hapaNdiyo mjue kwamba GDP ni upumbavu tu, sema Wakenya hamna akili thus y mnashindwa kuelewa kwamba hapa ni kama mna substantiate tunachosema.
Mbona unahangaika mno na idadi ya watu? Unatafuta nini kwenye idadi?ona... kenya population 47m for $109B gdp.
tanganyika 61m for $65B.. hatuwezi kua level moja ata kwa dawa.
per capita ni $2,300 vs $1,100 (NB: kenya tunaelekea Medium Income Economy) ilhali tanganyika itabaki kua Lower Middle Income till 2050