Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Jamaa zinafosi tufanane hizo 😂😂😂Wanafosi tufanane![]()
Jamaa zinafosi tufanane hizo 😂😂😂Wanafosi tufanane![]()
vitu tanzani tumefanya 5 yrs ago wao wanafanya leo alaf wanakwambia wana technology 😂😂😂
Duuhh kitambo sana, jamaa wana apply time travelvitu tanzani tumefanya 5 yrs ago wao wanafanya leo alaf wanakwambia wana technology

Ss nyie mnataka kujifananisha na Rwanda? Wale ni wastaarabu na miji yao misafi kama huku kwetu, fake GDP inaumbuliwa na maisha mnayoishi plus miji yenu michafu na ma slums yaliyotapakaa Kenya nzima.
vitu tanzani tumefanya 5 yrs ago wao wanafanya leo alaf wanakwambia wana technology 😂😂😂
Wanatambua kuwa Dar ni kusafi ila ni viburi tu.
Ungesoma hiyo taarifa haungeandika huu upupu. But again, you wouldn't have understood anything even if you read the article a million times. Nimesahau kiingereza ni kizungumkuti kwakomedia ya kenya ndio imesema hvo lakini rais hakusema ni phase ipi atakopa 😂😂😂 na probably kwa maelezo yake ni phase 4
mm ndio nakueleza sasa pesa iliokopwa 1.4b ni kwa ajili ya phase two morogoro to dodoma na part paymeny nyingine imelipwa na serekali kukamilisha 1.9b usdUngesoma hiyo taarifa haungeandika huu upupu. But again, you wouldn't have understood anything even if you read the article a million times. Nimesahau kiingereza ni kizungumkuti kwako
Bongolala, you should b able to read and understand, sip kupayuka tu. Rais wenu amesema atakopa pesa Kutoka uturuki, wewe bado unakwamilia story ya Standard chartered, loan ambayo mlishapewa tiyari kufikisha reli porini. Soma hii taarif ujue Rais wako anaongelea nini kabla ya kutoa povumm ndio nakueleza sasa pesa iliokopwa 1.4b ni kwa ajili ya phase two morogoro to dodoma na part paymeny nyingine imelipwa na serekali kukamilisha 1.9b usd
kwa maana hio serekali imetoa 500m usd
tatizo lako ww hupendi kusikia tanzania inatumia pesa zake kwenye maendeleo yake
Ila nyie mezidi, tabia za baa au grocery ndio zipo bungeni kwenu! Au usikute viongozi wenu badala ya maji wanakunywa chang'aa bungeniTundu Lissu mbona alienda exile baada ya uchaguzi. cheza na jpm uone ⚡⚡
Hii ni contract nyingine Acha kubishia vitu usivyovijua .. reli yetu iko na 4 phases U/C, 1st phase ni serikali ndio ime finance, 2nd phase loan+gvt, 5th phase ni loan na 3rd phase ni loan pekee (hii ndio imekuwa signed juzi) .. acha kulazimisha mambo dadaanguBongolala, you should b able to read and understand, sip kupayuka tu. Rais wenu amesema atakopa pesa Kutoka uturuki, wewe bado unakwamilia story ya Standard chartered, loan ambayo mlishapewa tiyari kufikisha reli porini. Soma hii taarif ujue Rais wako anaongelea nini kabla ya kutoa povu
![]()
Tanzania signs $1.9 bln railway contract with Turkish firm
Tanzania on Tuesday signed a contract with Turkish firm Yapi Merkezi to build a 368 km section of standard gauge railway that is expected to cost $1.9 billion and will be funded by loans.www.reuters.com
This is a contract that was signed two days ago
Bongolala, you should b able to read and understand, sip kupayuka tu. Rais wenu amesema atakopa pesa Kutoka uturuki, wewe bado unakwamilia story ya Standard chartered, loan ambayo mlishapewa tiyari kufikisha reli porini. Soma hii taarif ujue Rais wako anaongelea nini kabla ya kutoa povu
![]()
Tanzania signs $1.9 bln railway contract with Turkish firm
Tanzania on Tuesday signed a contract with Turkish firm Yapi Merkezi to build a 368 km section of standard gauge railway that is expected to cost $1.9 billion and will be funded by loans.www.reuters.com
This is a contract that was signed two days ago

ase.. contract tu povu kubwa hiv? mzigo ukianza kutembea si utajinyonga kwa kushikwa na uchungu wa wivuBongolala, you should b able to read and understand, sip kupayuka tu. Rais wenu amesema atakopa pesa Kutoka uturuki, wewe bado unakwamilia story ya Standard chartered, loan ambayo mlishapewa tiyari kufikisha reli porini. Soma hii taarif ujue Rais wako anaongelea nini kabla ya kutoa povu
![]()
Tanzania signs $1.9 bln railway contract with Turkish firm
Tanzania on Tuesday signed a contract with Turkish firm Yapi Merkezi to build a 368 km section of standard gauge railway that is expected to cost $1.9 billion and will be funded by loans.www.reuters.com
This is a contract that was signed two days ago
from makutopora to taboraBongolala, you should b able to read and understand, sip kupayuka tu. Rais wenu amesema atakopa pesa Kutoka uturuki, wewe bado unakwamilia story ya Standard chartered, loan ambayo mlishapewa tiyari kufikisha reli porini. Soma hii taarif ujue Rais wako anaongelea nini kabla ya kutoa povu