Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwamba Kenya ikashinde Tz kwenye large open space c maajabu haya.

Kenya area ni 580, 367km² whilst Tz area ni 945,087km² [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mzungu kanena hayo, 👐 sio sisi
 
kanairo
Nairobi-City-800x430.jpg
 
Miguna Miguna alifurushwa kwa mateke na magumi licha ya mahakama kutaka arudishiwe passport yake na kuruhusiwa kurudi nchini, wakati huohuo zaidi ya watu 60 waliuliwa katika uchaguzi wenu wa mwisho 2017[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesahau wale waliouliwa na polisi zanzibar[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom