Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kumbe wakunya mnavijua vipanya [emoji1787][emoji1787]da hizo taka taka zimenikumbusha dar es salaam ya 1993 to 1996,kabla ya hapo pia kulikuwa na gari tunaziita "chai maharage" sijui kenya zipo hizo
Kumbe wewe ni mzee mwenzangu, chai maharage zilikuwa zikipiga breki ghafla abiria wote mnalalia upande wa mbele.
 
Kumbe wewe ni mzee mwenzangu, chai maharage zilikuwa zikipiga breki ghafla wote mnalalia upande wa mbele.
FB_IMG_16407687955347129.jpg
 
Sisi tunajenga kwa hela zetu [emoji23] [emoji23]
Sasa unalia nn? Ukweli ni kwamba hii reli kuna phase tumejenga kwa pesa za ndani na phase nyingine ni mkopo, shida ni kwamba mnataka tufanane kitu ambacho haitawahi kutokea, nyinyi ile upgraded MGR yote mmejengewa na wachina, cc uchumi wetu ni mkubwa na hauna madeni kama uchumi wenu wa mkopo na ndiyo maana tunasema Tz ina uchumi mkubwa kuliko the failed state.
 
Back
Top Bottom