Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya Jamii zinaongoza kwa Pesa ni zile zinazoishi highland regions. Kikuyu ndio wanamiliki Mali mingi Kenya Wasomali sasa ndio uso ya umaskini East Africa wacha Kenya. Zile picha za Watu wakikufa Njaa Africa wazungu hutangaza 90% zimechukuliwa eneo za Wasomali East Africa ju hawa ni watu hata Ukulima hawajui ni kenya na Uganda inawalisha. Alu hata sio waafrika kamili wamechukia Wabantu kabisa. Ni Mbantu mjinga tu ndio anaweza unga mkono hizi panya za kiarabu.
Kenya itawezaji kulisha Somalia wakati Kenya yenyewe inslishwa na Tanzania?
 
Ati Wasomali Kenya Ndio wenye Pesa? Wasomali Kenya Ndio Maskini Wakutupwa. In fact ile Njaa unaskia Ikihangaisha Serekali ya Kenya ni Wasomali wanahangaika. Wakenya ndio hulisha wasomali kenya. Yani umaskini iko na hii jamii ya Wasomali haisemeki lakini ju wako na Kiburi kama watanzania na Matharau ukiwapeleka wachache nairobi waone lami na wakodeshe Nyumba ya Kamau wanathani wamefika . Alafu tena kuzaana kama Mapanya. Ndio hawa wakiongea utathani dubai ni yao . Alafu tena Wachafu Kupindukia mtaa yao ndio inaongoza na kipindupindu NairobiView attachment 2061236View attachment 2061238View attachment 2061240View attachment 2061244View attachment 2061245View attachment 2061249View attachment 2061252
Wanaokufa kwa Njaa Kenya ni Turkana, Samburu, Kilifi, Pokot, mijikenda na baadhi ya maeneo ya kazkazini magharibi, hao wote ni wasomali?, Wacha kujitetea, Kenya mlianza kufa kwa njaa kuanzia enzi za ukoloni hata kabla ya vita kuanza Somalia.
 
A nice explanation, watanzania hapa jf wangekua na reasoning kama hizi na sio tu kukurupuka kiholela the debate and discussions would have been interesting and constructive. But as at now this is more of a fun base, laughter from funny responses inabidi nicheze kwa level zao to keep the fun going.,
Hakuna ukweli wowote wewe uijui dunia tuliyopo,mafisadi wa kimataifa wanapokuja wanakuja na mambo mengi ya kifisadi ,sikuizi wazungu wanatupiga kwa gharama kubwa katika kila kitu ,mfano wanakupa mkopo wa kujenga sgr na kampuni wanalazimisha wao itakajo jenga ili wakupige ,hapa tz sgr ya mafuta ilitakiwa kuwa bei kubwa sana tena kwa shariti la wachina ndiyo wawe wajenzi tulipo kataa wachina ,wakakataa kutoa mkopo unajua kwanini ,kwa sababu mradi ulikuwa wa kifisadi husio endana na value of money
 
Uvundo umeanza kutoa harufu sasa.


View attachment 2061267
Wakunya njooni mtufafanulie kwa kiswahili maana sisi wabongo atujui inglishiiii hii habari inasemaje komora096 Tony254
 
Apart from being stuck in traffic, matatus are better than your failed BRT. It`s you have accepted that your BRT has failed miserably.

Mwenye macho haambiwi tazama

JPM alikua ndio mkali wa hizi kazi, kutoka Makutupora kwenda Tabora ni plain ground hakuna geographical obstacles kama za kutoka Morogoro kwenda Makutupora lakini angalia kiasi cha pesa kilichotumika kujenga na hiki cha sasa

NB Yarpi ni mkandarasi mwenye vifaa site tayari

Ufisadi??? 🤔😔

View attachment 2060513
Before ya kusema ni ufisadi jiridhishe kwanza kwenye mchanganuo wa cost.Ni lazima tujue pia kwa Sasa kutokana Covid materials duniani ni very expensive kwa Sababu ya low production na pia huenda Kuna design changes.Sitaki kuishi kwa hisia labda wachumi watusaidie.Tujiulize pia kipande cha Dar-Moro kilicho kwenye Tambalale tu kilicost how much?
 
Wao wanatoa vibarua watu wameandika wafanyikazi wa ndani
Narudia tena, hakuna msomali tajiri likija swala la matajiri kenya labda waungeunge sana

Wakenya sio vilaza na wazembe km watz bana mnaachia mtawaliwe na machotara
We mjomba una tatizo la ubaguzi wa rangi...
Afu sio kitu kizuri kwa zama hizi
 
Before ya kusema ni ufisadi jiridhishe kwanza kwenye mchanganuo wa cost.Ni lazima tujue pia kwa Sasa kutokana Covid materials duniani ni very expensive kwa Sababu ya low production na pia huenda Kuna design changes.Sitaki kuishi kwa hisia labda wachumi watusaidie.Tujiulize pia kipande cha Dar-Moro kilicho kwenye Tambalale tu kilicost how much?
Trillion 2.7 Makutupora Tabora kimekizidi kilometers 68 tu tena za mapishano ya train lakini cha kushangaza ndio kimekua trillion 4.4

 
20211229_092106.jpg

Hivi kunyaland mlilogwa na na nani?
Vichwa vyenu kama havina akili si mngeomba consultants kutoka kwenye nchi zisizo na matatizo ya akili.
 
Bila Upendeleo wowote..I think Elevated Railway inahitajika Zaidi Kilwa Road to Mbagala na Kongowe ..and Road to Pugu..more tha Tegeta ..imo ..watu wengi wanaishi Mbagala hata hii BRT mpya haitatosha
Upo sahihi population ya mbagala sio mchezo ingewezekana kungekua na barabara ya kuchepusha haswa maroli. Pia Nyerere road inabidi iwe pana hadi pugu hivi . Maana hizi sehemu zina miji iliyopo kwa ndani inawatu wengi mno
 
Utajiliwaza hadi lini?😂😂😂😂 Unaandika kwa maumivu na nguvu nyingi sana nikama hatuzijui dala dala zenu na tabia zenu, yaani huwa mnaingilia hadi madirishani, nyambaff 😂😂😂, propaganda wacha pembeni, mko hovyo zaidi ya Kenya on average, yani mko below licha ya maendeleo chache hapa na pale, hii BRT, vigorofa vichache na bridges visikudanganye village boy😂😂😂😂😂😂, ngojeni 25,years kisha uje kama utakua hai😂😂😂.,
Nilijua ungejibu hoja kwa hoja kumbe umeleta domo tupu 😂😂😂 Mpumbavu kweli we jamaa.. our daladala system is better than your matatus zenye hazina hata stops ..
 
Back
Top Bottom