Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ujinga tupu. Those are two different treets you fool. Alafu picha ya kwanza ni during construction.
More than a year after construction 🤣🤣🤣🤣

FHm8jWzWQAAHUnX.jpeg
 
Jibu maswali Acha kutapatapa! kama kawaida yako unajua kila kitu! Excuses ziko wapi?
Ok tuanze afresh.
BRT zenu huwa hazipati ajili regularly?
BRT zenu hazijaichomeka?
BRT zenu huwa hazichelewi?
 
Walituiga, Uhuru alikuwa anapiga chabo kwa Magufuli, kila alichofanya Magu basi uhuru naye alifanya, baadaye akaanza kujiingiza kwenye kazi asisoweza za kupambana na ufisadi wkt yeye ndiye fisadi namba moja pale Kunyaland
Wacha uongo, huna hata aibu. MV Uhuru imekua ikichapa kazi ya kupeleka mafuta Uganda since 2019.

IMG_20211228_104321.jpg
 
Ok tuanze afresh.
BRT zenu huwa hazipati ajili regularly?
BRT zenu hazijaichomeka?
BRT zenu huwa hazichelewi?
Hizo ni changamoto zina patikana worldwide! Lini mwisho udart imepata ajali? Na issue ya kuchelewa Kwani brt bus ni moja? Unajua udart ina mabasi mangapi ?nilivyo eleza Kwa post hapo mwanzoni we are not perfect lakin tuna jaribu Sana Ku improve!
Main point matatu ni usafiri ambao umepitwa na wakati that's why mna angalia upande wa brt au urongo?
 
Apart from being stuck in traffic, matatus are better than your failed BRT. It`s good you have accepted that your BRT has failed miserably.
 
Back
Top Bottom