Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Unalia nini dogo? Nimekutesa kweli, ukinipata naona utaninyonga weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, wapi SGR tunaingia 2022.., pipeline?., Vimuradi vidogo vidogo visikutie kiwewe wewe mfalme wa ma tahira humu,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Malizeni miradi kisha uje, nchi ni hafifu kiuchumi ndio maanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, mama atakopa usilie dogo, hakuna miradi itakayo kwama kutokea sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na Expressway isn't the biggest project in Kenya, only the fasted executed so far, get the difference., imewauma ila mtanyooka tu.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
View attachment 2061253
BTW hii Esegiara yao ya umeme ilikuwa ichukue how long kabla ikuwe complete? I feel its been ages already. Hawajaanza kufanya repairs in some stretch? 🀣
 
Domo domo tupu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naelewa huna cha kujibu utajibu nini mzee .. endelea kupiga nduru
 
Tanzania ipo mbele kwenye mambo mengi

Mbona unajiweka own goal 🀣🀣🀣🀣🀣 that's a poor country's mindset...Kenya tunanunua tu the newer model
This one ran out
images.jpeg
 
BTW hii Esegiara yao ya umeme ilikuwa ichukue how long kabla ikuwe complete? I feel its been ages already. Hawajaanza kufanya repairs in some stretch? 🀣
We eka tako hapo ulitulize SGR yenu treni zinaanguka na kukwama huko kila siku .. subiri wanaume tulete vitu vipyaa, sie hatuna haraka mradi ni wetu wenyewe
 
Ati Wasomali Kenya Ndio wenye Pesa? Wasomali Kenya Ndio Maskini Wakutupwa. In fact ile Njaa unaskia Ikihangaisha Serekali ya Kenya ni Wasomali wanahangaika. Wakenya ndio hulisha wasomali kenya. Yani umaskini iko na hii jamii ya Wasomali haisemeki lakini ju wako na Kiburi kama watanzania na Matharau ukiwapeleka wachache nairobi waone lami na wakodeshe Nyumba ya Kamau wanathani wamefika . Alafu tena kuzaana kama Mapanya. Ndio hawa wakiongea utathani dubai ni yao . Alafu tena Wachafu Kupindukia mtaa yao ndio inaongoza na kipindupindu NairobiView attachment 2061236View attachment 2061238View attachment 2061240View attachment 2061244View attachment 2061245View attachment 2061249View attachment 2061252

Daah yani unawaua wakenya wenzako hvihvi kweli nyie wakenya wote ni vichwa vya panzi na ukabila tuu Ndio mnajuaa
 
Sasa hapa tunaelewana, deni muhimu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Pesa za ndani nyef nyef, nyambaffπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Kopa mjenge taifa, mko na uchumi hafifu, pia tajiri anakopa sembuse nyie fukaraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hadi raha.,
#maendeleo raha
ushaanza kupanic sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kilichokua kinawaumiza nikuona tunajenga kila kitu kwa pesa za ndani mukawa munakosa raha na amani sasa tutakopa ili muishi na amani

na kenya kwa sasa hamuwezi kopa kwasababu mushavuka red line yani mumefkia level hakuna mtu anaweza kuwaaminu kuwakopa 🀣🀣🀣 kilichobaki ni kuwapa wageni nchi wajenge wakiliki na mulipe tozo mpaka kiyama 😫😫😫
 
Labda hayo mahesabu ni ya serikali ya kikwete ,kwanza hizi reli kujengewa na wageni au makampuni binafsi ni ujinga kwa nchi ambayo imepata uhuru zaidi ya miaka 50 vitu kama madaraja ,flyovers, interchange , na mabarabara ilitakiwa tutumie jeshi kuvijenga hapo tungeweza kujenga kwa gharama ndogo na kwaubora wa juu hivyo kujenga km nyingi zaidi ,kama jeshi lingekuwa limewezeshwa kujenga madaraja kama ya tanzanite basi hadi leo hii tz ingekuwa imemaliza kabisa maswala ya madaraja
Siku hizi sisikii hata wanajeshi au wanavyuo wakipelekwa kwenye miradi kujifunza tumerudi kulekule
 
Mbona unajiweka own goal 🀣🀣🀣🀣🀣 that's a poor country's mindset...Kenya tunanunua tu the newer model
This one ran outView attachment 2061458
najua hutaamini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

7FC40136-2F6F-433E-B8FE-DE39293B3511.jpeg
 
ushaanza kupanic sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kilichokua kinawaumiza nikuona tunajenga kila kitu kwa pesa za ndani mukawa munakosa raha na amani sasa tutakopa ili muishi na amani
Utajua hujui..mtakopa hadi Haiti...🀣🀣

1640765751314.png
 
Ati Wasomali Kenya Ndio wenye Pesa? Wasomali Kenya Ndio Maskini Wakutupwa. In fact ile Njaa unaskia Ikihangaisha Serekali ya Kenya ni Wasomali wanahangaika. Wakenya ndio hulisha wasomali kenya. Yani umaskini iko na hii jamii ya Wasomali haisemeki lakini ju wako na Kiburi kama watanzania na Matharau ukiwapeleka wachache nairobi waone lami na wakodeshe Nyumba ya Kamau wanathani wamefika . Alafu tena kuzaana kama Mapanya. Ndio hawa wakiongea utathani dubai ni yao . Alafu tena Wachafu Kupindukia mtaa yao ndio inaongoza na kipindupindu NairobiView attachment 2061236View attachment 2061238View attachment 2061240View attachment 2061244View attachment 2061245View attachment 2061249View attachment 2061252

Lkn hao wasomali si ni raia wa Kenya?
 
ww usitumie kigezo cha wachache ili ionekane ni wengi hakuna mkenya yoyote atakataa kama wasomali sio matajiri kenya na majumba mengi nairobi na mombasa yanamilikiwa na wasomali unabisha 🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom