joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Weka clip kuonyesha nchi yoyote Africa ilifanya hiviYou couldn't fight for yourselves and you believe you fought for others?
Weka clip kuonyesha nchi yoyote Africa ilifanya hiviYou couldn't fight for yourselves and you believe you fought for others?
Heshimu sana huu mzee ideology zake zitaishi miaka na miaka!!!jiulize ni Marais wangapi ambao wamepikwa Tanzania na kwenda kuongoza nchi zao ndani ya Afrika wakiwa wametokea Tanzania!!! jiulize juu ya salsafa zake na mitazamo au maono yake ya mbali!!!, jiulize ni marais wangapi Afrika wanaongea kiswahili fasaha na jiulize kwa nini hawaongei ki kikuyu au kiluo!!!!endeleeni kubusu matako ya wazungu maana ndo mmepakana nao!!!kutwa kujipendekeza enzi na enzi!!!From this screenshot I can confidently say that Nyerere copied the idea of Maulana Karenga. His Kwanza phylosophy was published in 1966 lakini yenu mmefanya one year later after ya Maulana ishakuwa famous. Thanks for this information, I didn`t Nyerere alikuwa copycat🤣🤣🤣
Case closed, akiendeleza ubishi hatakuwa sawa sehemu fulani

Owky, najua BRT zenyew unaishia kuziona kwenye picha tu, BRT bongo ziko na miaka mitano zinapiga kazi, vipi unasema zimefeli.? Unataka kulinganisha matatu yani hizi 👇View attachment 2061114View attachment 2061115View attachment 2061116View attachment 2061117View attachment 2061118hizi Matatu zenu ni hovyo hata tulinganisha na mfumo wa usafiri wa daladala zetu kawaida.. kwanza hizi matatu zenu hazina hata stops za kueleweka, sio safe watu wanapanda hovyo popote pale bila mpangilio.. ukiachana na foleni pia nyingi Kati ya hizo ni mibasi mobovu.. heb jifunze kitu daladala za bongo zinavyokimbiza mifumo yenu ya usafirishaji uko kwenu 😂😂😂 Heb ona hapa 👇 daladala stops. mbezi luiz daladala stopView attachment 2061122View attachment 2061123Simu 2000 daladala stop 👇View attachment 2061125View attachment 2061130View attachment 2061131View attachment 2061136Makumbusho daladala stops 👇View attachment 2061140View attachment 2061141na daladala stops kibao, these are everywhere in Dar es Salaam and many cities in Tz 👇View attachment 2061142View attachment 2061143.. kwahiyo kwa kifupi nyinyi hamtuwezi hata robo kwenye masuala ya usafiri.. hii system ya daladala tu DSM ni better kuliko system za hizo matatu zenu ambazo hazina hata bus stops za kupandia, zinagaa hovyo mitaani 😂😂😂, halaf mpumbavu ka wewe uko hapa kutaja BT ambazo unazionaga tu kwenye video..😂😂😂
hebu tazama hii 👇👇👇👇kila leo mnalia eti kenya kuna vipanya. hapa ni Jo'burg. hebu toeni hizi zenu critics kwa nchi iliopiga hatua kubwa kimaendeleo africa View attachment 2061637View attachment 2061638
Wewe ukiwa na gari lako na halina shida yoyote inamaanisha hauitumii... a breakdown ni jambo la kawaida, na linakubalika, shida ni kutorekebisha hilo kosa...We eka tako hapo ulitulize SGR yenu treni zinaanguka na kukwama huko kila siku .. subiri wanaume tulete vitu vipyaa, sie hatuna haraka mradi ni wetu wenyewe
We eka tako hapo ulitulize SGR yenu treni zinaanguka na kukwama huko kila siku .. subiri wanaume tulete vitu vipyaa, sie hatuna haraka mradi ni wetu wenyewe
najua hutaamini 😂😂👇👇👇
View attachment 2061466![]()
TEAMCRUISER🇹🇿 on Instagram: "Land Cruiser 300 series in Tanzania....raia hawapoiii🔥🔥🔥🔥tusiulizane bei tafadhali😅😅jamaa anaishi mwaka 2022 tayari. #teamcruiser #landcruiser300series"
1,984 likes, 68 comments - team_cruiser on June 18, 2021: "Land Cruiser 300 series in Tanzania....raia hawapoiii🔥🔥🔥🔥tusiulizane bei tafadhali😅😅jamaa anaishi mwaka 2022 tayari. #teamcruiser #landcruiser300series".www.instagram.com
Sijui unaongea nini, sisi tuko na 4 phases U/C alafu upo hapa kupayuka, vipi bwana.? Mko na upumbavu sana nyie WakenyaWewe ukiwa na gari lako na halina shida yoyote inamaanisha hauitumii... a breakdown ni jambo la kawaida, na linakubalika, shida ni kutorekebisha hilo kosa...
Ati hamna haraka...you are just proving the "Tanzania lazy" stereotype.
The capitalist mindset teaches you that time is money
Niujinga waliozaliwa nao Wakenya, eti USA kukiwa na slums basi kwao wanaona Slums co shida, US wakiweka sidewalks katikati ya barabara nao wanaweka bila kuzingatia usalama wao ambao ni mdogo kulinganisha na first world country.Akili za kijinga sana, yaani tuanze kushindana na vitu vilivyoshindwa kisa eti ni South Afrika? Pumba kabisa hii.



Kwa hii argument ni dhahiri vichwa vyenu vimejaa mavikila leo mnalia eti kenya kuna vipanya. hapa ni Jo'burg. hebu toeni hizi zenu critics kwa nchi ilio na uwezo zaidi africa nzimaView attachment 2061637View attachment 2061638
Niujinga waliozaliwa nao Wakenya, eti USA kukiwa na slums basi kwao wanaona Slums co shida, US wakiweka sidewalks katikati ya barabara nao wanaweka bila kuzingatia usalama wao ambao ni mdogo kulinganisha na first world country.
Yani Wakenya tumewapa darasa kubwa sana ingefaa watulipe.

