Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
mboso nae alikua mombasa juzi akikusanya pesa zao 😂😂😂😂
Wewe ndo mjinga kulinganisha unreliable, chaotic na unsafe transport system a.k.a matatu na Brt ambayo na safe, reliable,free from chaos, sometimes uwe unatumia ubongo uki comment sio ushabik wa kimandazi!Watanzania ni watu wajinga sana. Sasa vitu zinlianza kufanyika Kenya 1990 ndio unaringa nayo? All Kenyan matatus has lED lights on them.
Wee jamaa maneno mengi yasio na maana ukunya kazi kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Amekimbia ufukara wa Tanzania ameenda ku omba omba Mombasa kupitia kipaji chake 😂😂😂, tofauti yake na wale omba omba wenu walioko Nairobi wanao tumbuiza wapita njia kwa guiter na kupiga ngoma ni kidogo sana, yeye anaenda kwa vilabu ambayo watu wanalipa ili kumuondolea ufukara wa ukoo akirudi Tz awachane na mihogo na maharage, angalau asiwe na utapia mlo inayo sababisha slow brain growth matokeo ni vilaza kila kona😂😂😂😂😂😂., Mnakaribishwa nyote mje mtengeneze hela ndefu😂😂😂
Stop hiding behind density to justify poorly planned construction.Ile siku Kenya itapata density kama hii nitag.



Nimeona kuna kondoo zinafananisha matatu na BRT!
Na ndio maana gap ya uchumi kati ya Kenya na Tz itaongezeka,That's correct .. jirani kuna time anaropoka tu, miundombinu ya usafirishaji ni muhimu zaidi kwa ukuaji wa uchumi
Maneno yamegonga ndipo,😂😂😂😂😂😂😂Wee jamaa maneno mengi yasio na maana ukunya kazi kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Vile utasema msee, but hii upumbavu utakuja kuikumbukaPeleka upumbavu wako Kibera.
so pictures from open sources and paid license are supposed to be different? Ama mimi ndio sikuelewi?
Mlivyoambiwa na WB real-estate ya Tanzania imewapita kwa dollars billions 4 mlifikiri masihara? Hata uarabuni petrol ni cheap kuliko Kenya.Tanzania is cheap 😅😅,,kama chips funga😂🤣hakujua ako LDC ndyo maana
Hivi vinyumba ni vichache lakini pictures zimepigwa kwa kuibiwaibiwa kama unabisha sema Suu!
Kitengela ipo Kajiado countyHave you been to Kitengela? Have you been to Nairobi?
So?Kitengela ipo Kajiado county
Dah umeongea kitoto sn aiseeAmekimbia ufukara wa Tanzania ameenda ku omba omba Mombasa kupitia kipaji chake, tofauti yake na wale omba omba wenu walioko Nairobi wanao tumbuiza wapita njia kwa guiter na kupiga ngoma ni kidogo sana, yeye anaenda kwa vilabu ambayo watu wanalipa ili kumuondolea ufukara wa ukoo akirudi Tz awachane na mihogo na maharage, angalau asiwe na utapia mlo inayo sababisha slow brain growth matokeo ni vilaza kila kona
., Mnakaribishwa nyote mje mtengeneze hela ndefu
![]()



Hii issue Wakenya imewauma kweli kweliNimeona kuna kondoo zinafananisha matatu na BRT!







NairobiWalker ulisema wakenya wanapiga pesa nyingi SA kuliko Watanzania, nikakulabua na fact 🇹🇿 exports to 🇿🇦 ni 700$ million wakati 🇰🇪 exports to 🇿🇦 ni 34$ million
Leo nimekujia na habari njema nyingine 🇹🇿 to 🇿🇦
Note 🇹🇿 exports to 🇰🇪 ni 160$ million balance of trade favored 🇹🇿 ndio maana Kenya ni nothing kwetu
Soon 🇹🇿 exports to 🇿🇦 inakua 2$B
Hujijui hata unachoongea.Mbona mnapendanga uongo?😂😂 Kama your total avocado export to the all world was $8.5M, sasa hiyo $700M to south Africa and $160M to Kenya imetoka wapi?
![]()
South Africa grants market access to Tanzania’s avocado
South Africa has granted market access to avocado produced in Tanzania, ending 10 years of a standoff over the matter.www.thecitizen.co.tz