Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No makeup



FHg055oX0AI1cXW.jpeg
 
muna sgr au ushuzi wa SGR 🤣😂😂😂 na hio SGR unayoisemea ww sio ile white elephant ilioishia naivasha huku mchina akiwagaragaza kwenye bei mbaya ya vitu vya miaka 100 iliopita ??
View attachment 2058103

View attachment 2058104
Eti mchina akiwagaragaza kwa vitu vya bei mbaya ya miaka 100 iliyopita 😂😂😂😂
 
Nairobi expressway haijajengwa sababu uchoyoboy hajaona construction board
imejengwa na mchina itakilikiwa na mchina kwa miaka 30 hakuna mkenya ataitumia bila malipo kwenda kwa mchina kwa miaka 30 na ajira zote za uendeshaji na uongozi zitaenda kwa wachina kwa miaka 30

hebu chekecha akili yako hapo 🤣🤣🤣
 
Wacha kusumbuka na Nairobi Kijana wa Tandale. Dar is slum yenu ndio hii hapa Kijitonyama na posta zote ndani. Kuna kichobaki? View attachment 2058153

View attachment 2058146
haya tuambie umeona nn na nn?? mm naona kinondoni na CBd haya ww niambie umeona nn na nn????😂😂😂😂😂😂😂 na kama unajidanganya bado kijitonyama hujaiona vzr hapo hio ni kinondoni area + CBD
 
Back
Top Bottom