Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujijui hata unachoongea.
Wewe ndio hujui unachoongea. Uongo haitasaidia bro😂😂

According to the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF), in 2018 Tanzania exported 7,551 tons of avocado with a total value of USD 8.5 million to Europe, Africa, and Asia.

Read more at: Tanzania Avocado Exports Gets Boost from South Africa and India, China is Next - TanzaniaInvest and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest

In 2020 Tanzania exported a total of $30M avocado.

Hizo number za exports nani kakuambia ni avocado's?
 
Wewe ndio hujui unachoongea. Uongo haitasaidia bro😂😂

According to the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF), Tanzania exported 7,551 tons of avocado with a total value of USD 8.5 million to Europe, Africa, and Asia.

Read more at: Tanzania Avocado Exports Gets Boost from South Africa and India, China is Next - TanzaniaInvest and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest
Acha kudandai magari kwa mbele utagongwa ufe 😂😂😂, $700 umeelezwa kabisa ni total exports za tz to SA, na hiyo avocado ni miongoni mwa hizo exports .. ukitaka ku comment husuanisha mikono na kichwa chako Dadaangu 😂😂😂 sio kisa kazi ya mikono ni kuandika basi ndio unaandika bila kuhusisha kichwa 😂😂😂.. soma tena hapa 👇labda utaelewa
NairobiWalker ulisema wakenya wanapiga pesa nyingi SA kuliko Watanzania, nikakulabua na fact 🇹🇿 exports to 🇿🇦 ni 700$ million wakati 🇰🇪 exports to 🇿🇦 ni 34$ million

Leo nimekujia na habari njema nyingine 🇹🇿 to 🇿🇦

Note 🇹🇿 exports to 🇰🇪 ni 160$ million balance of trade favored 🇹🇿 ndio maana Kenya ni nothing kwetu

Soon 🇹🇿 exports to 🇿🇦 inakua 2$B

Kusoma ndio hujui ama? Nimekuekea link ujisomee.
Mimi nilichomaanisha ni hiki hapa, hiyo attachment kuhusu avocado ni ice on the cake tu

Screenshot_20211226-152110.png
Screenshot_20211226-151927.png
 
Amekimbia ufukara wa Tanzania ameenda ku omba omba Mombasa kupitia kipaji chake 😂😂😂, tofauti yake na wale omba omba wenu walioko Nairobi wanao tumbuiza wapita njia kwa guiter na kupiga ngoma ni kidogo sana, yeye anaenda kwa vilabu ambayo watu wanalipa ili kumuondolea ufukara wa ukoo akirudi Tz awachane na mihogo na maharage, angalau asiwe na utapia mlo inayo sababisha slow brain growth matokeo ni vilaza kila kona😂😂😂😂😂😂., Mnakaribishwa nyote mje mtengeneze hela ndefu😂😂😂
We kilaza ona vile mnatuabudu uko kwenu.. mbosso akitoa msaada kwa familia iliyofiwa na shabiki yake. 👇.
 
NairobiWalker ulisema wakenya wanapiga pesa nyingi SA kuliko Watanzania, nikakulabua na fact 🇹🇿 exports to 🇿🇦 ni 700$ million wakati 🇰🇪 exports to 🇿🇦 ni 34$ million

Leo nimekujia na habari njema nyingine 🇹🇿 to 🇿🇦

Note 🇹🇿 exports to 🇰🇪 ni 160$ million balance of trade favored 🇹🇿 ndio maana Kenya ni nothing kwetu

Soon 🇹🇿 exports to 🇿🇦 inakua 2$B

Nimekuuliza export za Tz to SA in 2019 ni ngapi ukashindwa kujibu. Alafu exports ni tofauti na diaspora remittances, fahamu hilo.
 
Nimekuuliza export za Tz to SA in 2019 ni ngapi ukashindwa kujibu. Alafu exports ni tofauti na diaspora remittances, fahamu hilo.
Research reports hazitoki kila siku sababu hazifanyiki kila siku, latest report ni hiyo ya 2017-2018 ikionesha tunaexport SA 700M $, obviously saivi itakua juu zaidi sababu biashara imekua zaidi.

Wewe unataka iwe remittance kwani hizo 700M $ hazifiki Tanzania? Unafikiri Watanzania ni wavivu kama ninyi ambao wakenya wote zaidi ya million 55 wanashindwa production na wakenya chini ya million 1 waliopo abroad?

Yaani mkenya wa kajiado hawezi kufanya kazi kabisa amekaa anasubiri ndugu yake anaepigika ulaya amtue pesa za matumizi 🚮🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom