Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiwaona Keyboard worriers humu wanavyoongea utafikiri wana type kutoka Singapore [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kumbe hapa hapa kundustan Karia Dudu, tena usikute hapo hapo kuna demu wa mtu ye akiwa Busy Jf demu anapiga part time hapo。
Kaliadudu 😂😂😂😂😂😂
Hiyo milango na madirisha ya showrooms zao ndio vimeniacha hoi 🤣🤣🤣🤣

City center unakutana na milango na madirisha ya aina hii? Imagine ukutane na hiki kituko kariakoo 😂😂😂

Screenshot_20211226-184915_1.jpg
Screenshot_20211226-184941_1.jpg
Screenshot_20211226-185021_1.jpg
 
I didn't know Shinyanga downtown is also EAC prostitution HQ [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani hii ndio downtown? Kuanzia wananchi mpaka majengo vyote vimechoka, lot's of mikokoteni, prostitutes, drug addicts and poverty

Kuna mpka base la wabongo hapo wametia kambi[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom