NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,013
- 19,189
The Green City in the Sun. Plant trees in your cities
the distance from CBD to kitengela 51km .?
Watanzania ni watu wajinga sana. Sasa vitu zinlianza kufanyika Kenya 1990 ndio unaringa nayo? All Kenyan matatus has lED lights on them.
Kenya is growing at a rate of 7%, Tanzania at 2%.Your too far from $300B ,we ar close to $100B ,Sometimes unawaza mambo kiurahisi sana ni moja ya watu ambao hampo serious
mukifika level hii munitag plz😂😂
Hapa ni Ruaka ama?
Have you been to Kitengela? Have you been to Nairobi?the distance from CBD to kitengela 51km .?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 So this is your indoor arena?Ya zamani ipo pale uwanja wa Taifa na mpya ya kisasa ipo pale Haile Selassie Road.
Hii ni ya zamani pale uwanja wa Taifa
View attachment 2058194
View attachment 2058195
View attachment 2058196
View attachment 2058197
Inakaa Table Tennis Hall ya High School 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 So this is your indoor arena?
Kwani expressway inajengwa Tanzania? Ama ulitaka hizo magari zifly zikifika place expressway inajengwa?Si wana barabara nzuri za lami? Gari linfika mjini chafu hivi utafikiri limetoka construction site.[emoji1787]
View attachment 2058237
View attachment 2058238
View attachment 2058239
Exactly that what I wanted to say. Niliexpect walete hile tent walileta last time but wamenisuprise na dining hall🤣🤣🤣Inakaa Table Tennis Hall ya High School 🤣🤣🤣