Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


the guy rn
IMG_3497.jpg
 
Research reports hazitoki kila siku sababu hazifanyiki kila siku, latest report ni hiyo ya 2017-2018 ikionesha tunaexport SA 700M $, obviously saivi itakua juu zaidi sababu biashara imekua zaidi.

Export data ya 2019 haijatoka ama hupendi ukweli? 🤣🤣🤣
Wewe unataka iwe remittance kwani hizo 700M $ hazifiki Tanzania? Unafikiri Watanzania ni wavivu kama ninyi ambao wakenya wote zaidi ya million 55 wanashindwa production na wakenya chini ya million 1 waliopo abroad?
Sitaki iwe remittances, I'm simply telling your stupid self that exports and remittances are two different things. We can't be lazy when we are producing more than you with less resources. 🚮🚮
Yaani mkenya wa kajiado hawezi kufanya kazi kabisa amekaa anasubiri ndugu yake anaepigika ulaya amtue pesa za matumizi 🚮🚮🚮🚮

See how stupid you are? Tukisema remittances hatumaanishi hizo ndio tunategemea. Yaani the way you bongolalas argue makes me wonder what kind of education you have down there. 🚮🚮
 
Kweli Sana mkuu tunaona matunda,Bora tuendelee Kwa enjoy hawa mbuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujamaa na elimu ni vitu viwili tofauti sana, ndio manake mpka ma profesa tz ni vilaza
 
Back
Top Bottom