Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha ujinga, vyote ulivyotaja hapo vina maana na impact moja kwa moja kwenye uchumi, juzi tu watu wenu walikufa kwa kukosa daraja bora, flyover Ina reduce traffic congestion and that's why mkaingia mpaka mikataba ya hovyo ili kujengewa express way ... "If you want to get rich, build roads first" Chinese proverb.. huwez ku Link sector yoyote ya maendeleo bila kuwa na miondombinu ya barabara .. kwasasa mnahitaji barabara, maji, umeme, chakula zaidi kuliko kitu chochote.. panua akili hizo
100%, ukiangalia uchumi wa China kwa miaka 20 iliyopita utaona umeongezeka haraka sana kuanzia 2005, hii ikiwa ni sambamba na kasi ya ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji.
 
26177517850_194245220b_o.jpg

26501716846_76265524a6_o.jpg

25847528023_8672397ace_o.jpg

26424431886_2bec413784_o.jpg
 
From my expertise and experience in map and photography interpretation, you can never compare and contrast the photoz that were taken from different elevations. The two fotoz, are eggs and mangoes, coz one is obliquely taken, and the other is taken from the air, i.e. ~90°. Moreover, the first one is highly zoomed in when was taken. The other one is highly zoomed out when was taken. Also I guess one is from open source, and the other is from the paid license.
so pictures from open sources and paid license are supposed to be different? Ama mimi ndio sikuelewi?
 
sio wanajenga wamejengewa na wachina kwa mkopo mkubwa wenye riba ya commercial alaf hao hao ndio wanakeambia wamesoma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tena mbaya zaidi mlevi nae anapeperusha bendera
View attachment 2058166View attachment 2058167
Usitaje rais wetu eti Mlevi tafadhali.. Kumbuka ile siku niliongea mbaya kuhusu SSH, ile vita nilipigwa hapa!😱 whooih!. Infact niliponea chupuchupu, JF ningetolewa milele, though hio msg ilivutwa haraka tena sana na ma Admins.
Mbona sasa unaongea mbaya kuhusu rais Kenyatta, na una expect to go scot free. Unless baci ma admin wa JF wako na ubaguzi
 
Watanzania ni watu wajinga sana. Sasa vitu zinlianza kufanyika Kenya 1990 ndio unaringa nayo? All Kenyan matatus has lED lights on them.
😂😂😂 Hapo hatuizungumzii tu LED lights mzee, hapo kitu kikubwa ni BRT buses mzee, yani kuna uulaya flani hiv unaonekana hapo.. huwezi kabisa linganisha hizi vitu viwili utapata dhambi 😂😂 ona mabasi yenu 👇
91f16fbba7698bdcc481dd724ede4fa5.jpg
maxresdefault(58).jpg
0b8e0659f1d0051c29fe83403400b7c5.png
vs Tz 👇
3047291_IMG_3530.jpg
3047296_IMG_3533.jpg
3047294_IMG_3529.jpg
3047292_IMG_3531.jpg
3047295_IMG_3534.jpg
we huoni aibu kutaka kufanananisha third world country's transit na world class public buses.?😂😂😂.
 
😂😂😂 Hapo hatuizungumzii tu LED lights mzee, hapo kitu kikubwa ni BRT buses mzee, yani kuna uulaya flani hiv unaonekana hapo.. huwezi kabisa linganisha hizi vitu viwili utapata dhambi 😂😂 ona mabasi yenu 👇View attachment 2058912View attachment 2058913View attachment 2058914vs Tz 👇View attachment 2058915View attachment 2058916View attachment 2058917View attachment 2058918View attachment 2058919we huoni aibu kutaka kufanananisha third world country's transit na world class public buses.?😂😂😂.
Mtu yeyote atakayepinga ukweli huu lazima atakuwa chizi.
 
Back
Top Bottom