Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usipost hizi hapa Tanzania hawawezi elewa hizi level Yao Ni Sisi kubishana Na vitu visivyo Na maana.. kama flyover kitoto toto ama eti daraja vitu ambavyo haviongezi raslimali
Kwahiyo unataka kufananisha impact ya madaraja na flyovers na huo upuuzi alioweka huyo mkunya mwenzio? Imewasaidia nn ss hyo zaidi ya kumaliza pesa za tax payers? Nyie mnashida ya chakula na miundombinu kuliko kitu chochote kile kwa ss.
 
😂😂😂 Tumia kiingireza saa zingine . Ona kiswahili kinavyokushinda 😂😂😂 .. iyo paragraph yako ulitaka kumaanisha nini.? 😂😂😂.. eti watz ni nani amemuelewa huyu.?
 
Kwahiyo unataka kufananisha impact ya madaraja na flyovers na huo upuuzi alioweka huyo mkunya mwenzio? Imewasaidia nn ss hyo zaidi ya kumaliza pesa za tax payers? Nyie mnashida ya chakula na miundombinu kuliko kitu chochote kile kwa ss.
Flyover Ina impact Gani? Daraja Ina impact Gani? Kama Hakuna mto daraja wahitaji? No meaning you don't incur extra costs it's very low of people to be showing alot of bulshit instead of showing things that actually bring economical value
 
Acha ujinga, vyote ulivyotaja hapo vina maana na impact moja kwa moja kwenye uchumi, juzi tu watu wenu walikufa kwa kukosa daraja bora, flyover Ina reduce traffic congestion and that's why mkaingia mpaka mikataba ya hovyo ili kujengewa express way ... "If you want to get rich, build roads first" Chinese proverb.. huwez ku Link sector yoyote ya maendeleo bila kuwa na miondombinu ya barabara .. kwasasa mnahitaji barabara, maji, umeme, chakula zaidi kuliko kitu chochote.. panua akili hizo
 
Lugha poor Tanzanian boys wanaelewa showing them new places in Nairobi they never seen before
Screenshot_20211226-132049.png
Screenshot_20211226-132130.png
Screenshot_20211226-132136.png
Screenshot_20211226-132201.png
Screenshot_20211226-132242.png
Screenshot_20211226-132333.png
Screenshot_20211226-132353.png
Screenshot_20211226-132429.png
Screenshot_20211226-132437.png
Screenshot_20211226-132502.png
Screenshot_20211226-132530.png
 
Acha ujinga, vyote ulivyotaja hapo vina maana na impact moja kwa moja kwenye uchumi, juzi tu watu wenu walikufa kwa kukosa daraja bora, flyover Ina reduce traffic congestion and that's why mkaingia mpaka mikataba ya hovyo ili kujengewa express way ... "If you want to get rich, build roads first" Chinese proverb.. huwez ku Link sector yoyote ya maendeleo bila kuwa na miondombinu ya barabara .. kwasasa mnahitaji barabara, maji, umeme, chakula zaidi kuliko kitu chochote.. panua akili hizo
Hukunielewa I never mentioned roads... Roads can be roads even without flyovers flyover Ni astetic's if there is no crossing a bridge pia is not a must so meaning a bridge is important yes but does not directly contribute to the economy
 
Mzee kichwa ngumu, utawezaje kuunganisha maeneo mawili tofauti yanayotenganishwa na maji kwa barabara bila kujenga Madaraja.? Kuhusu Flyovers, kwa Dar pekee traffic congestion ilisababisha shughuli za kiuchumi zilikua zinachelewa kiasi cha kuisababishia serikali hasara ya mabilioni ya shilingi, utasemaji Flyovers hazileti uchumi mzee.? Labda uko kwenu mana mnajenga tu flyovers ili mradi hata kwenye maeneo yasiyo na tija.. Tz hatujengi jengi hovyo hayo mavitu pasipo na tija (nandio maana kwasasa Flyovers zinaonekana DSM tu ingawa zimechelewa) .. Madaraja na Flyovers vyote kwa pamoja ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi
 
Acha kulazimisha mambow mzee, picha ya kwanza huo mtaa unaitwa Moroko ni mbali kidogo na kijitonyama, dar huijui na unalazimisha 😂😂😂😂 unashida gani wewe 👇 kijitonyamaView attachment 2058268View attachment 2058271hayo majengo yapo kwenye barabara moja Ila ni mitaa tofauti hiyo, kuna mpaka shughuli za kiuchumi kimpangilio wake, stendi ya mabasi n.k .. hiyo mitaa ya Sky tower ndio makumbusho uko. Ila huku 👇ni Moroko.. View attachment 2058284pia kuna mpaka stendi za daladala na mwendo kasi kimpango wake👇View attachment 2058286
Al this isht is summarised in one picture
2777020_images_1.jpeg
 
Mzee kichwa ngumu, utawezaje kuunganisha maeneo mawili tofauti yanayotenganishwa na maji kwa barabara bila kujenga Madaraja.? Kuhusu Flyovers, kwa Dar pekee traffic congestion ilisababisha shughuli za kiuchumi zilikua zinachelewa kiasi cha kuisababishia serikali hasara ya mabilioni ya shilingi, utasemaji Flyovers hazileti uchumi mzee.? Labda uko kwenu mana mnajenga tu flyovers ili mradi hata kwenye maeneo yasiyo na tija.. Tz hatujengi jengi hovyo hayo mavitu pasipo na tija (nandio maana kwasasa Flyovers zinaonekana DSM tu ingawa zimechelewa) .. Madaraja na Flyovers vyote kwa pamoja ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi
Unawezaje kumjibu mpumbavu mkuu. Muache na upumbavu wake akafie mbele.
 
Back
Top Bottom