Yani hawa wakenya me wananichekesha sana ๐๐๐ imekua ni kawaida yao kurudi nyuma kimaendeleo karibu kwenye kila kitu badala ya kwenda mbele ๐๐๐ ..ona mfano hizi high speed rail roads zilijengwa na kuwa electrified tango 1980s uko Ulaya ๐ona kitu kikali mixer nyoka huyo
View attachment 2058156alafu miaka 40 baadae (baada ya mapinduzi makubwa ya viwanda na technology kukua zaidi) eti wakenya na wao wakajenga kitu cha diesel ๐๐๐
View attachment 2058158View attachment 2058159๐๐๐๐ nyie jamaa muache kujifanya ni time travellers bhana ๐๐๐ yani dunia inakimbia mbio mbele, nyie mnarudi nyuma mbio nyingi ๐๐๐.. bhana eeh bro
Simon njoo useme nao