Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FB_IMG_16402377747050833.jpg
 
Hujui kiswahili wala kiingereza wewe, hapo nimetumia neno "kujiongeza", unaelewa maana yake lakini?

Hiyo Emirate si ilitua? Kama unaulizia kuja regularly, kwa sasa hakuna demand kubwa, na hizo ndege Airbus wameshasitisha production kwasababu ya kukosa soko.

Just few hours ago you didn't know what a ramp is when it comes to highways, until I broke it down for you. Now you're all over it like cheese on pizza, typical mshagoo.

Just be humble my dude, you don't know shit. Waswahili tunasema, usimwige tembo kunya mavi makubwa, utapasuka msamba

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwaka unamwishia Jamaa vibaya mnoo[emoji41]
 
Two weeks ago [emoji1787]. Msikilizeni Mkulungwa [mention]ichoboy01 [/mention] kuhusu maneno ya wa K [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwenye mia chukueni moja muondoke na musitazame nyuma tena 😂😂😂😂
 
1. Part of expressway ambayo ni 8km ni flyover, so do you believe that Dar has not got flyover? u will be crazy.

2. 12 lane road iko wapi hapo Kenya, unasema 12 lane road na bado unaonesha 8lane road ambayo tayari Dar ipo (kimara kibaha highway)

3. Wind farm? Naona unaelekea kutaja Felis wheel[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

4. Underpass ziko kibao Dar mbwa wewe au unajisahaulisha? Au ulitaka kumaanisha tunnel road ila ukaona aibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amesema 12 lane kwani hujui kusoma?
 
haya nioneshe hayo majengo ya kijitonyama sasa hapo 😂😂😂😂 mm nimeona jengo hili au nasema uongo 👇👇👇👇👇
View attachment 2058157
Bongolala, ubishi haisadii chochote. Hii picha inaonyesha vizuri sana Morocco na pia inonyesha hilo jumba la ghorofa (blue in colour) on the left with a slanting rooftop.
3008563_4433-1536x1024~2.jpg

The same building ya blue with a slanting rooftop ndio hii hapa kwenye hii picha upande wa chini kulia.
3010781_3010719_255718527898_status_1f931046a4504b448159a5bb48ba7939.jpg

Hiyo picha ya pili tunajua ni kijitonyama. Does it mean that these two pictures were taken in different places while one of the buildings is clearly visible in both pictures? Danganya wajinga wenzako
 
Two weeks ago [emoji1787]. Msikilizeni Mkulungwa [mention]ichoboy01 [/mention] kuhusu maneno ya wa K [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂 Wakenya ni waongo sana hawa jamaa, yani yupo radhi aongee uongo ili aonekane yupo vizuri 😂😂😂, uwanja hauna viti na analazimisha eti uko na capacity ya watu 60k 😂😂😂
 
Service lane inaishia hapo mbele ndiyo una count [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
You are a fool those are service roads hazi ishi they are all the way to the end
 
You are a fool those are service roads hazi ishi they are all the way to the end
Kalilie twitter, c wewe huwa unatoa humu hoja unapelekea KoT wenzako kule mlie pamoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bongolala, ubishi haisadii chochote. Hii picha inaonyesha vizuri sana Morocco na pia inonyesha hilo jumba la ghorofa (blue in colour) on the left with a slanting rooftop.
View attachment 2058254
The same building ya blue with a slanting rooftop ndio hii hapa kwenye hii picha upande wa chini kulia. View attachment 2058257
Hiyo picha ya pili tunajua ni kijitonyama. Does it mean that these two pictures were taken in different places while one of the buildings is clearly visible in both pictures? Danganya wajinga wenzako
Acha kulazimisha mambow mzee, picha ya kwanza huo mtaa unaitwa Moroko ni mbali kidogo na kijitonyama, dar huijui na unalazimisha 😂😂😂😂 unashida gani wewe 👇 kijitonyama
122-1536x1024.jpg
7ugg-1536x1024.jpg
hayo majengo yapo kwenye barabara moja Ila ni mitaa tofauti hiyo, kuna mpaka shughuli za kiuchumi kimpangilio wake, stendi ya mabasi n.k .. hiyo mitaa ya Sky tower ndio makumbusho uko. Ila huku 👇ni Moroko..
mydaressalaam_1640443553437370.jpg
pia kuna mpaka stendi za daladala na mwendo kasi kimpango wake👇
00.jpg
 
Back
Top Bottom