Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 2057634View attachment 2057635
Acha visingizio kijana this ☝️ is Wembley 1923.. ambapo miaka 63 baadae dunia ilishapiga hatua kubwa sana na nyinyi mkapata kitu hiki hapa 👇
3047119_kasarani-1024x675.jpg
sasa badala ya kupata kitu new model wenzetu mkarudi nyuma. Badala ya kwenda mbele mkarudi nyuma 😂😂😂😂😂 , na huu muonekano ni baada ya kufanya renovation nyingi mno 😂😂😂.. dunia inaenda mbele nyie mnarudi nyuma.. hovyo kabisa

View attachment 2057639
Mbona hiyo Wembley ya 1923 Bado ni Bora kushinda hii Benjamin Mkapa yenu ya 2015?
 
Usiwe na hasira bradhee. Endelea kufurahia A380 kumake emergency landing JNIA. Hivo ndio watu wajinga hufikiria.
JNIA has supporting infrastructure for A380 JKIA haina. Choice ya distance betwen JNIA and JKIA is insignificant in aviation terms cause all are geographically located within the same range from where the plane was coming from.
 
JNIA has supporting infrastructure for A380 JKIA haina. Choice ya distance betwen JNIA and JKIA is insignificant in aviation terms cause all are geographically located within the same range from where the plane was coming from.
So ndege ingetoka indian ocean, ivuke JNIA ije JKIA for emergency landing ama unataka kumaanisha nini? Do you understand the meaning of the word nearest? Are you aware an emergency landing can even happen on a highway?
 
Ebu tafuta post zao za 2017 uone venye walikuwa wanasema ati GDP ya Tanzania itapita ya Kenya in 2020. Right now GDP ya Kenya is twice their GDP
Hata mimi naweza nikapandisha utajiri wangu kwenye karatasi for public consumption it is very easy kazi inakuwa kwenye kushindwa kulipa videni vidogo vidogo au kushindwa kufanya uwekezaji hata mdogo bila mkopo.
 
Tunajiongeza, tunaachana na pollution sisi.
Mnaachana na pollution aje and everything down there is diesel and petrol? Wacheni ujinga. Si juzi mmejigamba na more diesel locomotives?

Hamna vigezo vya kutua hizo ndege, acha ubabaishaji wewe.
Sasa mbona hizo ndege hazitui kwenu?

Unafikiri interchange nimezijuwa juzi...
Apparently so, if you can call a trumpet interchange with an overpass above it a ramp then you obviously don't know anything about interchanges.

Ramp (north America) ndiyo barabara za mchepuko (slip au link road). Kama hujui kitu uliza, usijifanye mjuaji, we mshago.
A slip road, a link road and a ramp are three different things my friend. Wacha kujiabisha. Umezaliwa wapi wewe?
 
😂😂😂Kujitia hamnazo😂😂, kulazimisha fikra za vijiweni😂😂😂
Yaani umefanya comparison analysis ya Wembley ya 1923 all amenities in the stadium ukaona imeshinda Kasarani ya 1986? Ukweli wewe ni "mtu smart"😂😂😂😂 pongezi👏👏👏👏
Yaani Nairobi tumeijenga zamani na bado tunaendelea, hamfikii bado.,
Wembley yako ya 'kisasa' vs Kasarani ya Vasco Da Gama😂😂,
View attachment 2057644

KASARANI STADIUM
The MOI INTERNATIONAL SPORTS CENTRE (MISC), is located 15 km from the Nairobi city centre on Thika road.



This facility includes:



i) The Stadion Hotel



The Stadion hotel is a three-star hotel and has the following services

Accommodation with 108 rooms equipped with TVs and telephones

200 seater restaurant and 60 seater adjacent grillroom
Sports bar
Laundry
400 seater multipurpose ballroom
Business Centre with cyber café
Seminar rooms with secretariat
Gift shop
Luxurious swimming pool (free of charge to residents)
Poolside bar


ii) Kasarani Stadium (Main Stadium)



The Stadium has a sitting capacity of 60,000, with VIP lounges and hospitality suites. The facilities are equipped with modern Changing Rooms, Restaurants, Mini-shops, press/media areas and offices. There are internet connections and a hot spot installed in strategic positions. It also has 6 conference rooms at Kasarani Grand Stadium each with a capacity of 60 pax.



iii) Kasarani Indoor Arena



A state-of-the-art Indoor Arena at Kasarani with a capacity of 5000 pax, a very ideal venue for AGMS, corporate sporting and team building activities. The Indoor Arena also has presidential suites, snack bar, and a restaurant, a typical setting for exclusive corporate use for business presentations, product launches and other business meetings.



iv) Kasarani Aquatic Stadium

The facility has:

One Baby Pool; 1.25m deep Warm-up or training pool; 1.5m deep Competition (Olympic size) Pool and 6m deep Diving Pool with 3 springboards and up to 10m high diving platform.
One recreational seminar room with 30 pax capacity and a VIP Lounge.

Tz nchi ya city moja yenye CBD moja, na stadium ya maana moja..,😂😂😂😂😂 , tuko lanes tofauti sana😂😂

Nyayo National Stadium​

Nyayo20.jpg

Nyayo20.jpg

The front view of the Nyayo National Stadium.
View attachment 2057682

View attachment 2057674

View attachment 2057676
View attachment 2057677View attachment 2057680
View attachment 2057681
View attachment 2057679
View attachment 2057678
A view inside the Nyayo National Stadium main VIP room as at May 25, 2020.


Tafuteni wenzenu jameni😂😂
Unaruka ruka tu, hujui ushike mti upi, 😂😂😂 Tahira wewe
 
Usithubutu kuruka swali kwa kujifanya eti unajua English mana Wakenya wengi mmekuwa ni Mazezeta wa hii lugha ya Wazungu, tutajie seating capacity ya Kasarani na uweke picha ku support ur claim cz kuona ni kuamini.
😂😂😂 Huyo jamaa ni mwehu huyo .. me nilishamjua kitambo ana rusha rusha maneno na kamwe hawez kubali kushindwa
 
Mnaachana na pollution aje and everything down there is diesel and petrol? Wacheni ujinga. Si juzi mmejigamba na more diesel locomotives?
Hujui kiswahili wala kiingereza wewe, hapo nimetumia neno "kujiongeza", unaelewa maana yake lakini?
Sasa mbona hizo ndege hazitui kwenu?
Hiyo Emirate si ilitua? Kama unaulizia kuja regularly, kwa sasa hakuna demand kubwa, na hizo ndege Airbus wameshasitisha production kwasababu ya kukosa soko.
Apparently so, if you can call a trumpet interchange with an overpass above it a ramp then you obviously don't know anything about interchanges.
Just few hours ago you didn't know what a ramp is when it comes to highways, until I broke it down for you. Now you're all over it like cheese on pizza, typical mshagoo.
A slip road, a link road and a ramp are three different things my friend. Wacha kujiabisha. Umezaliwa wapi wewe?
Just be humble my dude, you don't know shit. Waswahili tunasema, usimwige tembo kunya mavi makubwa, utapasuka msamba
 
Back
Top Bottom