Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnahitaji zaidi chakula kwa ss.
Nothing intelligent from you as always.
You like eating alot,you need other interesting things to do.

This is the kind of comments you make,mahn
Screenshot_2021-12-26-11-02-26-43.jpg
 
Alafu nikisema nyoote humu ni vilaza mnanuna, how can u compare kwa mfano Mercedes limo ya 1986 na Mercedes ya 2015 hivi? Hiyo si inaitwa ujinga, ungesema Nairobi hakuna football stadium., Pili, baada ya kuona Nairobi inawanyorosha sasa unabana kwa football stadium, yaani mtazamo tu na sio the infrastructure or facility, jinga type , lishamba linapingana tu ilimradi., Kilaza
Hyo ni mada nyingine, toa Kwanza majibu kiwanja kipi bora kati ya hvyo viwili..
 
Continue dreaming. Siku mtakanyaga GDP ya $100B Kenya itakuwa inacheza kwa $300B
Your too far from $300B ,we ar close to $100B ,Sometimes unawaza mambo kiurahisi sana ni moja ya watu ambao hampo serious
 
A functional one.


Like I said, it's under construction. Have you shown me an electric train?


Show me an A380 at JNIA


both Kasarani and Nyayo have seats as of now. Do you have a sporting complex?


Swali gani hili? Get a brain. Do interchanges have receipts?
hii hapa ilitua dar ila usinichukie 👇👇🤣🤣

 
😂😂😂Kujitia hamnazo😂😂, kulazimisha fikra za vijiweni😂😂😂
Yaani umefanya comparison analysis ya Wembley ya 1923 all amenities in the stadium ukaona imeshinda Kasarani ya 1986? Ukweli wewe ni "mtu smart"😂😂😂😂 pongezi👏👏👏👏
Yaani Nairobi tumeijenga zamani na bado tunaendelea, hamfikii bado.,
Wembley yako ya 'kisasa' vs Kasarani ya Vasco Da Gama😂😂,
View attachment 2057644

KASARANI STADIUM
The MOI INTERNATIONAL SPORTS CENTRE (MISC), is located 15 km from the Nairobi city centre on Thika road.



This facility includes:



i) The Stadion Hotel



The Stadion hotel is a three-star hotel and has the following services

Accommodation with 108 rooms equipped with TVs and telephones

200 seater restaurant and 60 seater adjacent grillroom
Sports bar
Laundry
400 seater multipurpose ballroom
Business Centre with cyber café
Seminar rooms with secretariat
Gift shop
Luxurious swimming pool (free of charge to residents)
Poolside bar


ii) Kasarani Stadium (Main Stadium)



The Stadium has a sitting capacity of 60,000, with VIP lounges and hospitality suites. The facilities are equipped with modern Changing Rooms, Restaurants, Mini-shops, press/media areas and offices. There are internet connections and a hot spot installed in strategic positions. It also has 6 conference rooms at Kasarani Grand Stadium each with a capacity of 60 pax.



iii) Kasarani Indoor Arena



A state-of-the-art Indoor Arena at Kasarani with a capacity of 5000 pax, a very ideal venue for AGMS, corporate sporting and team building activities. The Indoor Arena also has presidential suites, snack bar, and a restaurant, a typical setting for exclusive corporate use for business presentations, product launches and other business meetings.



iv) Kasarani Aquatic Stadium

The facility has:

One Baby Pool; 1.25m deep Warm-up or training pool; 1.5m deep Competition (Olympic size) Pool and 6m deep Diving Pool with 3 springboards and up to 10m high diving platform.
One recreational seminar room with 30 pax capacity and a VIP Lounge.

Tz nchi ya city moja yenye CBD moja, na stadium ya maana moja..,😂😂😂😂😂 , tuko lanes tofauti sana😂😂

Nyayo National Stadium​

Nyayo20.jpg

Nyayo20.jpg

The front view of the Nyayo National Stadium.
View attachment 2057682

View attachment 2057674

View attachment 2057676
View attachment 2057677View attachment 2057680
View attachment 2057681
View attachment 2057679
View attachment 2057678
A view inside the Nyayo National Stadium main VIP room as at May 25, 2020.


Tafuteni wenzenu jameni😂😂
Naona umeenda kutafuta picha za kipindi Wembley inavunjwa ili kuboreshwa zaid, ili u support ujinga wako 😂😂😂 hovyo sana we jamaa.. unapost kuhusu nyayo stadium na changing room mbovu mbovu halaf una claim eti uwanja umefanyiwa marekebisho 😂😂😂😂 .. Dar pekee iko na viwanja vizur vitatu 👇 UHURU STADIUM
UHURU-STADium-1.jpg
Screenshot_20211226-110146_1.jpg
FGKLIvzXwAIsPai.jpg
chamazi complex 👇
maxresdefault(57).jpg
63772a9bf43ec91d7c7b8dd2b882efee.jpg
pic-azam-data.jpg
yani Chamazi ni dimba la kisasa kuliko kasarani stadium 👇na uwanja wowote ndani ya kunya land . Kuhusu haya mambo mngoje kwanza 👇jakaya kikwete youth Park
2138330_images_4.jpeg
.. karume ilala👇
ilala.jpg
hq720.jpg
yani kwenye upande huu hamtuwezi leo, kesho wala kesho kutwa mana ukiachana na viwanja vingi vya mitaani vilivyopo, pia tunazo stadium ambazo ni U/C mf KMC stadium
kmcpic-data.jpg
kwenye suala la football stadium ni Dar vs Kenya .. sio Tz vs Kenya.. uku tunawashika makalio vibaya mno
 
Tuna SGR. a working SGR. Kuweka electric locomotives ni kitu rahisi.


Tumezipost hapa mara ngapi?


Hivi what do you understand by the word modern? Our airport is more efficient than yours. It is more respected than yours. It handles more traffic than yours. What makes you think yours is more modern?



We have a complex, you have a single football stadium na unajilinganisha na sisi? Our stadium can host everything your stadium can host. Your stadium cannot host what our stadium can host.
muna sgr au ushuzi wa SGR 🤣😂😂😂 na hio SGR unayoisemea ww sio ile white elephant ilioishia naivasha huku mchina akiwagaragaza kwenye bei mbaya ya vitu vya miaka 100 iliopita ??
3C75F1B7-D2DA-4B38-B2FD-F8A7EE23511C.jpeg


F5A5EF8A-6FEC-401A-9CB3-6A8EAC7F4C7C.jpeg
 
1. Sijataja part of expressway, nimetaja expressway. Mko nayo? Unajua Expressway ni nini? 😂😂
2. Hivi unaona hizi ni 8 lanes? Hujui kuhesabu? Alafu post hizo za Kibaha tuhesabu tuone ni ngapi.
View attachment 2057568

3. Asante kwa kutaja Feris wheel. Pia hiyo haipo Dar. Haya, wind farm munayo? Wewe uliyepost water treatment plant unataka kuona wind farm haifai yet water treatment plants zipo kila county Kenya? 🤣🤣

4. Nionyeshe hizo undepasses ambazo ziko Dar nizione. Nionyeshe moja tu. 🤣🤣
alewadanganya njia za kuingiza na kutokea hua zinajumlishwa kwenye lanes ??🤣🤣🤣 kua mkenya ni ujinga tu yani njia ya kuingiza na kutolewa munahesabu kwenye lanes??
 
Back
Top Bottom