Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anza na hii hapa. Leo nataka upevuke uwache kufikiria kishamba shamba. Mawazo ya kijamaa sio nzuri.
Hizi private roads zipo nyingi Marekani na zinaitwa turnpikes. Cc ichoboy01
Tony acha kutoa utetezi wa kindezi hivi!!!!PPP za US na Mataifa mengine yaliyoendelea ni tofauti na hiyo ya kwenu!!!!Kule unakuta ni serikali na makampuni binafsi yanayomilikiwa na wananchi wake kwa kiasi kikubwa pesa haitoki nje ya mipaka ya nchi kirahisi rahisi hivyo!!!!Hii ya kwenu ni ya mchina, hakuna kampuni binafsi ya Kenya yoyote iliyotia mkono wake kwenye huu mradi!!!Uongo?!!!
 
Acha kutetea ujinga project ndogo kama hii kwa ukwasi mnaotambana nao mngeweza kufanya wenyewe tu!!!PPP ya Serikali ya China na Jamhuri ya Kenya hahaha 🤣🤣🤣 sielewi hata kwa nini mnaita ni PPP maana hapa ni Serikali kwa Serikali!!!!mmekula cha mwanaume kwny SGR to nowhere...haya sasa mwashikishwa ukuta na bado!!!mkoloni anarudi taratibu Kenya!!!
 
ujamaa na ubepari ni mifumo tofauti kbs !
tanzania tunaichanganya hii ilkuendana na kasi ya dunia !

miradi ya ppp tz tunajitahidi sana kufanya na makampuni ya ndani" kiukweli sisi wa tz n kama wageni wa ppp sjui hatuuelewi? ila tupo very cautious na miradi inaomgusa mwanainchi

kwa kifupi ppp tunaona n kama neo colonialism au ainaflani ya unyonyaji dhidi ya wasiokuanacho

Tanzania tunathamini na kuulinda Uhuru wetu kwa mapana yake
Nilishangaa kuona Watanzania akina joto la jiwe ichoboy01 na wengine wakitucheka kwa kutumia PPP model. Nikashangaa kwani ushamba huu ulitoka wapi?
 
You think life starts and ends at Tandale slums? Step out of the boundaries of that glorified fishing village called Dar ujue kinachoendekea duniani. It limits your exposure and reasoning abilities. Did you say there are no PPP projects in developed countries like the US? Consume this free knowledge then thank me later

View attachment 2055237

Hawa watu ni washamba sana.
 
lakini si tunaona project moja kule tu kaskazini 🤣
Lake Turkana wind power project ambayo ni the biggest windpower project in Africa pia ni PPP. Kuna kampuni zaidi ya sita za kuzalisha umeme hapa Kenya ambazo ni PPP. Usicheze na Kenya kwenye upande wa PPP
 
Tony acha kutoa utetezi wa kindezi hivi!!!!PPP za US na Mataifa mengine yaliyoendelea ni tofauti na hiyo ya kwenu!!!!Kule unakuta ni serikali na makampuni binafsi yanayomilikiwa na wananchi wake kwa kiasi kikubwa pesa haitoki nje ya mipaka ya nchi kirahisi rahisi hivyo!!!!Hii ya kwenu ni ya mchina, hakuna kampuni binafsi ya Kenya yoyote iliyotia mkono wake kwenye huu mradi!!!Uongo?!!!
Naelewa unachosema ni kweli ila mimi ninamjibu joto la jiwe anayesema kwamba nchi ya Marekani haina barabara zilizojengwa na kampuni za kibinafsi zinazomiliki barabara hizo na kukusanya kodi. Mimi nampatia yeye darasa ili afahamu kuwa miradi kama hizi ni nyingi ulimwenguni. Ndugu yake ichoboy01 natumai pia anapata darasa.
 
PPP ni swala poa kama kuna win win situation!!!!inasaidia sana kuleta maendeleo kwa haraka na pia makampuni binafsi kutunisha mifuko na kukuza mitaji yao!!!! Makampuni binafsi kwa Tanzania kusema ukweli yanajivuta sana kwny fursa kama hizi inawezekana wanatengeneza faida kubwa bado kwny atmosphere waliokuwa nayo sasa ama hawana trust au confidence ya kutosha kwny biashara ya kaliba hii.
 
Dude, whether it's PPP or direct government payment, you'll still pay for it.
 
PPP ni swala poa kama kuna win win situation!!!!inasaidia sana kuleta maendeleo kwa haraka na pia makampuni binafsi kutunisha mifuko na kukuza mitaji yao!!!! Makampuni binafsi kwa Tanzania kusema ukweli yanajivuta sana kwny fursa kama hizi inawezekana wanatengeneza faida kubwa bado kwny atmosphere waliokuwa nayo sasa ama hawana trust au confidence ya kutosha kwny biashara ya kaliba hii.
Sasa mtangoja kampuni zenu za kibinafsi zijivute au mtatumia kampuni za nje zinazojituma na zipo tayari kutumia pesa zao? Hata sisi hapa Kenya kampuni zetu za kibinafsi zilikuwa zinajenga barabara mbovu ajabu halafu zinachukua muda mrefu kukamilisha mradi halafu hazingeweza kufanya miradi ya PPP maana hazina pesa ya kujenga barabara kwa pesa zao wenyewe. Kampuni zinazofanya miradi za PPP lazima ziwe na pesa zao za kibinafsi ili ziweze kujenga miradi ili ziweze kutoza kodi. Hakuna kampuni yoyote ya kibinafsi Africa Mashariki ambayo ina pesa kiasi hicho. Lazima tutegemee kampuni kutoka nje kuleta pesa yao kujenga miradi huku.
 
Another Skyline taking shape

IMG_3485.jpg
 
Nilishangaa kuona Watanzania akina joto la jiwe ichoboy01 na wengine wakitucheka kwa kutumia PPP model. Nikashangaa kwani ushamba huu ulitoka wapi?
wanawadhihaki sababu pesa nyingi inatoka kenya kwenda nje
sisi n tofauti!
wanawacheka sababu huduma za kijamii mmeziua na badala yake mnaziendesha kibiashara huku n tofauti
mkiendelea hivi mtajikuta watumwa kwe nchi yenu

#vp mjadala wa kuzibinafshisha national park zenu mmefkia wapi?

"sasa em kua mkweli tuu
Lake Turkana wind power project ambayo ni the biggest windpower project in Africa pia ni PPP. Kuna kampuni zaidi ya sita za kuzalisha umeme hapa Kenya ambazo ni PPP. Usicheze na Kenya kwenye upande wa PPP
ndo maana nlkwambia huku n tofauti hatufanyi sana ppp na ikitokea makampuni (mashirika ya ndani yanapewa kipaumbele )

huku tunafanya joint venture mfn stamico 'twiga mineral, lz helium
so pop n mfumo unaomtweza common mwananchi na kumuongezea mzigo tuu
#mfn mngetumia nssf yenu apo kenya kujenga mradi huu faida zake zngekua'aje?
 
Sasa mtangoja kampuni zenu za kibinafsi zijivute au mtatumia kampuni za nje zinazojituma na zipo tayari kutumia pesa zao? Hata sisi hapa Kenya kampuni zetu za kibinafsi zilikuwa zinajenga barabara mbovu ajabu halafu zinachukua muda mrefu kukamilisha mradi halafu hazingeweza kufanya miradi ya PPP maana hazina pesa ya kujenga barabara kwa pesa zao wenyewe. Kampuni zinazofanya miradi za PPP lazima ziwe na pesa zao za kibinafsi ili ziweze kujenga miradi ili ziweze kutoza kodi. Hakuna kampuni yoyote ya kibinafsi Africa Mashariki ambayo ina pesa kiasi hicho. Lazima tutegemee kampuni kutoka nje kuleta pesa yao kujenga miradi huku.
Acha uoga PPP si lazima iwe kampuni moja binafsi zinaweza kuwa kadhaa!!! Kenya mmezidi upigaji ndo maana mkijenga vitu vyenu nyie wenyewe lazima viwe vya hovyo sana tu!!! Rubbish unlike Tanzania, sisi tuna makampuni binafsi yanafanya vizuri tu sana mfano ni Estim ambao ndo wanaojenga Kimara- Kibaha Super Highway!!!usijesema mimi natunga angalia mwenyewe kwny hii link
 
Back
Top Bottom