The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Naona umejibu kwa uchungu mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kamilisha kwanza, ndio maana nasema ngoja hiyo miaka 25., kama SGR mmeishi miaka na ni km chache kuliko Nairobi -Mombasa.,
malizeni projects mje tufanye hesabu.., 25 to 50 years.., Kenya ain't waiting [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , na Kenya licha ya kukua juu yenu bado inasonga mbele kwa mbele [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
#25-50years!