dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
kenpaulite.... ilikua 8yrs kitambo .. but sahizi ni 5yrs or lessLakini wewe ni fala pia hapa, kenya huwezi ingiza gari ya more than 8 years, ours are newer ones from 2015 kuendelea
kenpaulite.... ilikua 8yrs kitambo .. but sahizi ni 5yrs or lessLakini wewe ni fala pia hapa, kenya huwezi ingiza gari ya more than 8 years, ours are newer ones from 2015 kuendelea
Lakini wewe ni fala pia hapa, kenya huwezi ingiza gari ya more than 8 years, ours are newer ones from 2015 kuendelea
for your information, all vehicles in nairobi streets are brand new. all imported cars to kenya are less than 5years old.! umesikia! View attachment 2055149
1 in a million. though nime confirm hili picha la 2010, otherwise ni very rare kuona magari kuukuu kama haya katikati ya jiji la nairobi. hivi zina choma picha, ata kama ilikua 2010. lol!
Katika picha nyingi mnazoweka hapa za Nai, huwa hazikosi magari ya zamani. Hii inaonesha kuwa Kenya mnakiasi kikubwa cha magari hayo. Hii pia ni kawaida kwa miji mingi ya Afrika, mfano Addis, Lusaka, Harare n.k. Hapo nimeongelea ukanda wetu, huko magharibi ni balaa.1 in a million. though nime confirm hii ni picha ya 2010, otherwise ni very rare kuona magari kama haya katikati ya jiji la nairobi. hivi zina choma picha, ata kama ilikua 2010. lol!
Your jus being petty
he highlighting one car talmbout old shit.....that whole street in dar is just shit with or without old carsYour jus being petty
😸😸😸😸1 in a million. though nime confirm hili picha la 2010, otherwise ni very rare kuona magari kuukuu kama haya katikati ya jiji la nairobi. hivi zina choma picha, ata kama ilikua 2010. lol!
Weka ushahidi kwamba Kuna nchi ambazo barabara zake zinajengwa na kumilikiwa na kampuni binafsi, wacha kudanganya watuAkili za kijamaa hizi. Wewe ujamaa umekufanya ukafikiria kwamba barabara lazima ijengwe na kumilikiwa na serikali. Nenda tembea Marekani au soma nakala za Marekani uone jinsi baadhi ya barabara zao zinajengwa na kumilikiwa na kampuni za kibinafsi kwa muda fulani kupitia mfumo wa PPP. Hata Italy mambo ni vivyo hivyo. Sio kila mtu ana mawazo ya kijamaa kwamba serikali ndio lazima ihusike kwenye kila kitu. Bado mawazo yenu ni ya kicomunisti tu, kutegemea serikali ifanye kila kitu halafu unacheka wengine wanaotumia mfumo wa kikapitolisti. Kinachoshangaza ni kuwa nchi zote tajiri duniani zinatumia mfumo huu wa kapitolisti. Kwa hivyo wewe na ichoboy01 baki hapo mkicheka mfumo wa kikapitolisti ilhali ujamaa ni mfumo unaokoleza umasikini. Hakuna nchi hata moja ya kijamaa ambayo ni tajiri yaani first world. Angalia North Korea na South Korea utanielewa, watu wamoja lugha moja ila mifumo tofauti kinachofuatia ni kuwa North Korea inakuwa na Gni per capita ya $700 ilhali South Korea inakuwa na Gni per capita ya $37,000.

.

Wewe ndio huna habari kuhusu jambo hili. Marekani, Italy na kwingineko kuna private roads zilizojengwa na kampuni za kibinafsi chini ya mfumo wa PPP na zinakusanya kodi. Ukitaka evidence naweza kukuleteaWacha uongo
Wacha naleta ushahidi. Nipe muda kidogo nizame narudi na darasa. Nitakupa darasa leo maana naona hujui historia ya PPP. Hujui miradi za PPP zilianzia ughaibuni? Subiri nikupe darasaWeka ushahidi kwamba Kuna nchi ambazo barabara zake zinajengwa na kumilikiwa na kampuni binafsi, wacha kudanganya watu.
PPP ni mfumo ulioanzishwa kwa makusudi ili kusaidia nchi masikini ambazo serikali zake hazina uwezo wa kujenga miuondombinu muhimu ambayo inapaswa kujengwa na serikali kwa ajili ya "public consumption", hakuna serikali yoyote ambayo ni "serious" na yenye uwezo amvayo inaweza kuacha "basic infrastructure" Kama barabara, reli, maji na umeme mikononi mwa private sectors"that is Economic suicide".
China ndiyo nchi inayofanya vizuri kiuchumi kuliko nchi yoyote kiuchumi duniani kwa sasa kuizidi hata USA, hata ninyi mnaojiita mabepari uchwara mnakimbilia kukopa China ambako wanafuata siasa za kijamaa za uchumi, hiyo ni dalili kwamba sera za uchumi wa Kibepari zimeshindwa kushikilia uchumi wa dunia
China ambayo ndiyo inayoongoza duniani kwasasa katika ujenzi wa miuondombinu muhimu Kama reli, bandari, barabara, Airports na makazi ya watu, hakuna hata kilometer Moja iliyojengwa kwa PPP, weka ushahidi wa nchi yoyote tajiri ambayo imetumia PPP katika kujenga miradi ya msingi kwa mpango wa PPP![]()
Anza na hii hapa. Leo nataka upevuke uwache kufikiria kishamba shamba. Mawazo ya kijamaa sio nzuri.Weka ushahidi kwamba Kuna nchi ambazo barabara zake zinajengwa na kumilikiwa na kampuni binafsi, wacha kudanganya watu.
PPP ni mfumo ulioanzishwa kwa makusudi ili kusaidia nchi masikini ambazo serikali zake hazina uwezo wa kujenga miuondombinu muhimu ambayo inapaswa kujengwa na serikali kwa ajili ya "public consumption", hakuna serikali yoyote ambayo ni "serious" na yenye uwezo amvayo inaweza kuacha "basic infrastructure" Kama barabara, reli, maji na umeme mikononi mwa private sectors"that is Economic suicide".
China ndiyo nchi inayofanya vizuri kiuchumi kuliko nchi yoyote kiuchumi duniani kwa sasa kuizidi hata USA, hata ninyi mnaojiita mabepari uchwara mnakimbilia kukopa China ambako wanafuata siasa za kijamaa za uchumi, hiyo ni dalili kwamba sera za uchumi wa Kibepari zimeshindwa kushikilia uchumi wa dunia
China ambayo ndiyo inayoongoza duniani kwasasa katika ujenzi wa miuondombinu muhimu Kama reli, bandari, barabara, Airports na makazi ya watu, hakuna hata kilometer Moja iliyojengwa kwa PPP, weka ushahidi wa nchi yoyote tajiri ambayo imetumia PPP katika kujenga miradi ya msingi kwa mpango wa PPP![]()
ujamaa na ubepari ni mifumo tofauti kbs !Anza na hii hapa. Leo nataka upevuke uwache kufikiria kishamba shamba. Mawazo ya kijamaa sio nzuri.
Hizi private roads zipo nyingi Marekani na zinaitwa turnpikes. Cc ichoboy01
![]()
Private highways in the United States - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
You think life starts and ends at Tandale slums? Step out of the boundaries of that glorified fishing village called Dar ujue kinachoendekea duniani. It limits your exposure and reasoning abilities. Did you say there are no PPP projects in developed countries like the US? Consume this free knowledge then thank me laterWeka ushahidi kwamba Kuna nchi ambazo barabara zake zinajengwa na kumilikiwa na kampuni binafsi, wacha kudanganya watu.
PPP ni mfumo ulioanzishwa kwa makusudi ili kusaidia nchi masikini ambazo serikali zake hazina uwezo wa kujenga miuondombinu muhimu ambayo inapaswa kujengwa na serikali kwa ajili ya "public consumption", hakuna serikali yoyote ambayo ni "serious" na yenye uwezo amvayo inaweza kuacha "basic infrastructure" Kama barabara, reli, maji na umeme mikononi mwa private sectors"that is Economic suicide".
China ndiyo nchi inayofanya vizuri kiuchumi kuliko nchi yoyote kiuchumi duniani kwa sasa kuizidi hata USA, hata ninyi mnaojiita mabepari uchwara mnakimbilia kukopa China ambako wanafuata siasa za kijamaa za uchumi, hiyo ni dalili kwamba sera za uchumi wa Kibepari zimeshindwa kushikilia uchumi wa dunia
China ambayo ndiyo inayoongoza duniani kwasasa katika ujenzi wa miuondombinu muhimu Kama reli, bandari, barabara, Airports na makazi ya watu, hakuna hata kilometer Moja iliyojengwa kwa PPP, weka ushahidi wa nchi yoyote tajiri ambayo imetumia PPP katika kujenga miradi ya msingi kwa mpango wa PPP![]()
Zile Matatu na Probox mtaambia nini watu??!for your information, all vehicles in nairobi streets are brand new. all imported cars to kenya are less than 5years old.! umesikia! View attachment 2055153View attachment 2055149View attachment 2055148
ZA Tanzania huwa mpya?Katika picha nyingi mnazoweka hapa za Nai, huwa hazikosi magari ya zamani. Hii inaonesha kuwa Kenya mnakiasi kikubwa cha magari hayo. Hii pia ni kawaida kwa miji mingi ya Afrika, mfano Addis, Lusaka, Harare n.k. Hapo nimeongelea ukanda wetu, huko magharibi ni balaa.
That car is in good condition. It doesn't matter the age. Hivi nikikuonyesha picha ya mji wa USA na moja ya hizo gari zao za kizamani utasema ni mji ovyo? Some of you reason like a toad.