Simon joto la jiwe Sama boy 255 The best 007 Geza Ulole muhogo_kiks
Sasa Wacha niwafafanulie utata wenyu and your GDP nimeona Simon akiuliza why they are making Soo many big projects but economy haipandi. Wacha niwape mfano
Kuna watu wawili wanalipwa mshahara. .
Wa Kwanza akilipwa mshahara anachukua wote ananunua TV kubwa Sana Anaanza kuringia jirani jinsi ako Na TV kubwa Kijiji chote Na amenunua cash.
Wa pili yeye akishalipwa mshahara anafungua kibanda kidogo cha kuuza mboga Kisha anaenda anaomba loan Kwa kutumia kibanda kile kama collateral ananunua TV pia Hela kidogo ikitoka Kwa kile kibanda nusu analipa loan pole pole nusu anawekeza Tena
Mshahara was pili vile vile, Kisha mtaani utaskia Yule was Kwanza akisema aaah huyo kazi yake madeni tu... Unaona TV langu Na nimenunua cash
Bada ya miezi kadhaa unafikiria Nani atakua Sawa kiuchumi????
Nani ataanza kulia nimenunua TV kubwa Sana mbona uchumi Wangu hupandi.....
Natumahi mnajua MTU was Kwanza Ni Nani Na was pili Ni Nani