dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
from KQ:- part of kibos, Kondele and Manyatta estates, kisumu.
Kondele's flyover in the foreground
Kondele's flyover in the foreground
Arusha ya kimataifa , kisumu ni kijiji cha africaVipi bwana Don YF tufungue upande huu wa villas👇 au huku utakufa kwa pressureView attachment 2051344View attachment 2051346View attachment 2051347View attachment 2051348View attachment 2051352View attachment 2051355View attachment 2051359View attachment 2051361
Hayo ni maneno tu vitendo ni sifuri tena ukizindatia vision ya uchapa kazi magu kaionyesha ,wewe unafikili bila magu kuwa raisi samia angejua la kufanya zaidi ya kula bata tumnaishi kwa kukariri.Barabara yetu ya Zege Njombe-Ludewa JPM alicha imejengwa almost 25km leo zimebaki labda km 5 kati ya hamsini na kazi kubwa ya imefanyika toka july hadi hii Disemba.Haya kigongo busisi mkandarasi kaambiwa juzi na Mbarawa aongeze nguvu kazi na aongeze speed.Huyu wa BRT aliambiwa arudie km 4 alizofanya uhuni.Nyie mnataka kipi mjue kazi zinafanyika.Saidieni kuripoti uozo badalaya kuota mchana
Jpm alikutana na matatizo mengi sana lakini aliweza kuyavuka na maadui wengu sana ukweli ni kuwa mpaka sasa mama ajafanya lolote la maana tena hata vision yake hakuna anayeijua kwa sababu ni jamii za vibaraka tu wa mabeberu anasubiri mwongozo kutoka kwa wazunguWengine wanajua ukweli kabisa miradi inaendelea vizuri na iliyosimama kama Airport ya Mwanza sababu za kasoro ni genuine kabisa ila basi tu ndio hivyo hawajakubali kuwa tuna Rais na Serikali nyingine. Tukitaka tujikumbushe miradi mingapi ilisimama JPM alipoingia madarakani na mingine mpaka leo iko vile vile na mingine ilisuasua mpaka kukamilika. Mfano rahisi ni Terminal 3 kabla ya kuamua kutoa hela baadae, Dege Village….umekufa kabisa, Bagamoyo Port nayo ikapigwa zengwe, Kurasini Logistics Center ulisahulika kabisa mpaka juzi hapa umezinduliwa tena na mingine mingi tu. Tujifunze kufuatilia details na tuwe wakweli, kama kuna kasoro genuine yes tuseme na sio emotions tu.
Arusha from above 👇👇 🤣🤣🤣kisumu from KQ View attachment 2051502
Tatizo mnaiogopa Mombasa sana 🤣🤣Umekimbilia uku.? 😂😂😂 Ila nimekupa kichapo bwana
Thika Iko on fire 🔥🔥Hii 👇 👇 Thika Town kwao ingekua ni city.., 😂 😂 😂 😂 , ingeitwa Thika City., kwa standard za Tz na Uganda, tuko na city mingi sana! 😂 😂 😂 😂
Thika town.., with class! 🔥 😍
View attachment 2051442
View attachment 2051441
View attachment 2051452
View attachment 2051451
View attachment 2051454
View attachment 2051453
View attachment 2051438
View attachment 2051439
View attachment 2051440
View attachment 2051443
View attachment 2051444
View attachment 2051447
View attachment 2051448
Shika adabu yako mombasa hakuna maajabu Ina nyumba za udongo mpaka leo .. tulia Arusha inamalize kujenga ule uwanja wa wao wa ndege na stendi ya mabasi, battle hii inahamia Arusha vs Mombasa, stay tunedTatizo mnaiogopa Mombasa sana 🤣🤣
Hapana kuwaelewa, inatakiwa tuwafundishe N.W.O watake wasitake cz dunia imesha change, wasiishi dunia 90s.Itabidi tuwaelewe ndugu zetu wa kujikweza katika hakuna
Huwa wanasema ni Kibera hii, mm huwa nawaambia wataje county yoyote Kenya alafu mm nitawaonesha slums, wanakimbiaaBut honestly I thought massive slums in the continent are in Nairobi,
Kumbe watu wa kisumu nao hawataki kubaki nyuma kabisa View attachment 2051614










Upande upande beibee





Upumbavu gani unaonesha huu, KENPAULITE kuja umwambie huyu.kisumu city from KQ View attachment 2051502
Huoni wameacha comparison ya Kipoison vs Arusha, eti Arusha ufananishe na Kisumu kisa cheap flyover ya porini isiyo na lamiBro The best 007 unaonaje tufungue Uzi mpya wa Chuga vs Kipoison, au ni aibu tutawaabisha sana jirani.? Tuwasameh.? ..
Though nataman iwe ivyo mana waliidanganya sana dunia hawa jamaa kuhusu uhalisia wa hizo towns zao wanazoziita Cities, Nataka tuwakomeshe, ili wanyamaze kimya sasa ..
Au watanzania wenzangu mnaonaje wazo langu.?










Ila mwanangu umejua kuwapigaVipi bwana Don YF tufungue upande huu wa villasau huku utakufa kwa pressureView attachment 2051344View attachment 2051346View attachment 2051347View attachment 2051348View attachment 2051352View attachment 2051355View attachment 2051359View attachment 2051361











Shukran sana mkuu, tunaendeleza motoBig up wabongo wote humu salaam nyingi toka nchi Fulani hivi, kwa kweli Tanzania tunapendwa sio Siri nimehisi kutokwa na machozi kwa uzur tunao julikana nao,kwanza The best 007 ,ichoboy01 ,babayao255 ,NDINDA ,Lusematic ,Geza Ulole ,Mkwanzania ,Tz_one passioner255 Njoga boy ,@Mjombe,Papi Chulo ,Chamoto ,eliakeem ,@Lwiva,mkorinto ,@gwakana etc
Big up na wote ambao sijawataja na Wana fight kuona dizzim na Tanzania Iko juu![]()

mpk hawa mbwa wakimbie battle, tukitoka hapa tunaenda twitter kuwaalika wakunya wote waje humu wachezee vitasa, wakisusa tunawafuata huko huko 










Naongezea na hawaBig up wabongo wote humu salaam nyingi toka nchi Fulani hivi, kwa kweli Tanzania tunapendwa sio Siri nimehisi kutokwa na machozi kwa uzur tunao julikana nao,kwanza The best 007 ,ichoboy01 ,babayao255 ,NDINDA ,Lusematic ,Geza Ulole ,Mkwanzania ,Tz_one passioner255 Njoga boy ,@Mjombe,Papi Chulo ,Chamoto ,eliakeem ,@Lwiva,mkorinto ,@gwakana etc
Big up na wote ambao sijawataja na Wana fight kuona dizzim na Tanzania Iko juu![]()









Kichwa panzi.
View attachment 2050795