chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,688
- 45,950
👋👋👋👋
mkuu itakuwa tunafanya dhambi kubwa,Bro The best 007 unaonaje tufungue Uzi mpya wa Chuga vs Kipoison, au ni aibu tutawaabisha sana jirani.? Tuwasameh.? ..
Though nataman iwe ivyo mana waliidanganya sana dunia hawa jamaa kuhusu uhalisia wa hizo towns zao wanazoziita Cities, Nataka tuwakomeshe, ili wanyamaze kimya sasa ..
Au watanzania wenzangu mnaonaje wazo langu.?
Cluster inakuja hio🔥🔥Watanzania njooni mtoe povu View attachment 2051760View attachment 2051761
Kipoison kimeshika Adabu 😂😂😂Huoni wameacha comparison ya Kipoison vs Arusha, eti Arusha ufananishe na Kisumu kisa cheap flyover ya porini isiyo na lami [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi limeisha hilo kakamkuu itakuwa tunafanya dhambi kubwa,
tutakuwa tunaishusha hadhi Chuga
Yah, foleni ya kizushi imeondoka pale aisee, kweli infrastructures ni muhimu sana katika maendeleo ya nchi.Updates za SGR: Leo nimepita pale njia panda Segerea nikitokea airport!!!Wameifunga rasmi ile njia!!!sasa ukiwa unaenda Kinyerezi inabidi uingilie njia panda airport!!!!utembee parallel na reli!!!Wanajipanga, soon patakuwa bize na ujenzi, Kazi iendelee!!!
Hii battle itapigwa tena vzr, yani watakimbia humu nakwambia, kwenye kms of paved roads tumewaacha mbali mno mno mno amini kwamba mkuu, Kenya hawaingii hata robo kwenye battle ya paved roads, na cku nikigundua Kenya imetuzidi kwenye paved roads itabidi nijipige risasi mana ntakuwa naishi dunia ya uongo sana.hizi kms wanahesabu lkn? kitu kipo mkoa wa mbal sana
Pembeni ya hapo kuna ma slums kama siafu, kama unabisha jikune [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]