Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We unarudia vitu mwenzako kapost mda si mrefu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hiyo ni village center wala sio City, hakuna chochote cha kuonyesha hapo zaidi ya NMT..
 
We ni fala sana wewe, ngoja nikuaibishe sasa, yani unataka kubishana na ukweli.? hii ni google Earth na hii ndio Kisumu View attachment 2050913View attachment 2050914ikiitoa kisumu village center maneno yaliyobaki yote yapo hivi View attachment 2050916 ingekua ni kavideo kadogo watu wengecheka sana humu
Mbona uliogopa kuchukua hii
Kisumu sio rika yenu bro,. Muende mcheze huko na Tandale yenu
Screenshot_20211220-170957.jpg
Screenshot_20211220-170943.jpg
Screenshot_20211220-170534.jpg
Screenshot_20211220-170601.jpg
Screenshot_20211220-170820.jpg
Screenshot_20211220-170804.jpg
Screenshot_20211220-170626.jpg
 
Bro The best 007 unaonaje tufungue Uzi mpya wa Chuga vs Kipoison, au ni aibu tutawaabisha sana jirani.? Tuwasameh.? ..

Though nataman iwe ivyo mana waliidanganya sana dunia hawa jamaa kuhusu uhalisia wa hizo towns zao wanazoziita Cities, Nataka tuwakomeshe, ili wanyamaze kimya sasa ..

Au watanzania wenzangu mnaonaje wazo langu.?
 
in Tanzania only darislum can attempt to have an aerial view with apartments 15 km from cbd
Hii πŸ‘‡ πŸ‘‡ Thika Town kwao ingekua ni city.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , ingeitwa Thika City., kwa standard za Tz na Uganda, tuko na city mingi sana! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Thika town.., with class! πŸ”₯ 😍
1640011087046.png

1640011075593.png

1640011294630.png

1640011270439.png

1640011361390.png

1640011318734.png

1640010987495.png

1640011012940.png

1640011028806.png

1640011115405.png

1640011137399.png

1640011201490.png

1640011221460.png
 
Sasa conference centre ndio inafanya Arusha iwe juu ya Kisumu? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , dogo nilikuambia kojoa ulale hausikii, ona sasa? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ..,
 
Sasa conference centre ndio inafanya Arusha iwe juu ya Kisumu? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , dogo nilikuambia kojoa ulale hausikii, ona sasa? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ..,
Mzee kwahyo hapo umeona conference center tu.?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Vipi Kisumu imelazwa chali chali na ARUSHA
 
Back
Top Bottom