Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hapo umejiona umeongea point mwenyewe mavi ya kenge wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu kuna mbwa zili like [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211220-213631.jpg
 
Shika adabu yako mombasa hakuna maajabu Ina nyumba za udongo mpaka leo .. tulia Arusha inamalize kujenga ule uwanja wa wao wa ndege na stendi ya mabasi, battle hii inahamia Arusha vs Mombasa, stay tuned
Dar slum yenyewe yatolewa mavi na Mombasa sembuse Arusha🤣🤣🤣🚮
 
Naongezea na hawa [emoji116][emoji116]

Alhaj Profesa Sir joto la jiwe, Naton Jr

xng hua eliakeem fundi wa modern photos engineer NDINDA mzee wa kufukua babayao255 kizazi kipya Sama boy 255 silent killer chongchung mzee wa kumaliza game over kiboko ya wakunya mwenyekiti wa battle sheikh ichoboy01 Katibu mkuu wa battle a.k.a the encyclopedia Geza Ulole list itaongezwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii [emoji3516][emoji3516] list haiwezi kukamilika bila kumtaja Engineer wetu humu ndani, samahani sana mkuu [emoji116][emoji116]

Anaitwa Simon The engineer himself, heshima kwako mkuu.
 
Big up wabongo wote humu salaam nyingi toka nchi Fulani hivi, kwa kweli Tanzania tunapendwa sio Siri nimehisi kutokwa na machozi kwa uzur tunao julikana nao,kwanza The best 007 ,ichoboy01 ,babayao255 ,NDINDA ,Lusematic ,Geza Ulole ,Mkwanzania ,Tz_one passioner255 Njoga boy ,@Mjombe,Papi Chulo ,Chamoto ,eliakeem ,@Lwiva,mkorinto ,@gwakana etc
Big up na wote ambao sijawataja na Wana fight kuona dizzim na Tanzania Iko juu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Asante sana
 
Updates za SGR: Leo nimepita pale njia panda Segerea nikitokea airport!!!Wameifunga rasmi ile njia!!!sasa ukiwa unaenda Kinyerezi inabidi uingilie njia panda airport!!!!utembee parallel na reli!!!Wanajipanga, soon patakuwa bize na ujenzi, Kazi iendelee!!!
Leo kuna msafara wa viongozi na waandishi umepita kuelekea nje ya mji,
 
Hii [emoji3516][emoji3516] list haiwezi kukamilika bila kumtaja Engineer wetu humu ndani, samahani sana mkuu [emoji116][emoji116]

Anaitwa Simon The engineer himself, heshima kwako mkuu.

hahaa pamoja mkuu.. majukumu mengi saiz.. nashow love na support za comments kwa kuwapa ‘likes’ nikipata mda wa kuchunguliachungulia [emoji102] kidogo
 
Back
Top Bottom