Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unarudia kupost streets zile zile vipi umeishiwa.?
Burukenge leo utatorokea wapi?🤣🤣

10 Best Places to Shop in Nairobi - Discover Walks Blog

Re)imagining Nairobi | Institute for Transportation and Development Policy



টুইটারে Mwangi Kirubi: "Roadside parkings have been removed along Muindi  Mbingu Street to make way for a median and better pedestrian access. Car  lanes have been reduced from two to one both
 
Nijibu hoja za mtu ambaye anaamini data za mashirika za kimataifa zinaandikwa na wakenya? Mtu mjinga kama huyo si unamtusi tu huenda akili ikafunguka!
Akili ndogo wewe, sio kila data inayotolewa na WB na IMF ni sahihi, na kwa msomi timamu huwezi kukubaliana na kila kilichandikwa huo ni uzuzu, akili zako zisiwe limited kiasi hicho, huwezi kuniambia eti Tz kuna umaskini uliokithiri kuliko kenya while kwa ground inaonekana kabisa wapo wakenya wanakufa kwa kukosa chakula alafu nikubaliane na hiyo taarifa.. no way
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwahyo kumbe mwanangu JENPAULITE kelele zote zile za virtual weight bridges, kumbe weight bridges zenyew mnazi 9 nchi nzima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naakati tz kila mkoa zipo na kuna mikoa zipo zaidi ya mbili [emoji23][emoji23][emoji23], wakenya bhana .. halafu kila siku tunapigizana kelele kuhusu habari ya barabara za lami [emoji23][emoji23][emoji23] sasa huwa zinatumikaje.? Au hayo maeneo mengine Kenya hakuna shughuli za biashara zinazoendelea.? [emoji23][emoji23][emoji23] Oya The best 007 Mimi hii discussion na hawa mbwa inafurahisha sana
Bado kuna private weight brigde zinatukika na cergo transporter kabla malori hayajaanza safari . Wanaofanya biashara malori lazima wapime kwenye mizani ya watu binafsi kabla hawajaanza safari hili wajue kama mzigo umezidi wapunguze
 
Bado kuna private weight brigde zinatukika na cergo transporter kabla malori hayajaanza safari . Wanaofanya biashara malori lazima wapime kwenye mizani ya watu binafsi kabla hawajaanza safari hili wajue kama mzigo umezidi wapunguze
Kuna weight bridges ngapi ndani ya kenya.? 😂😂
 
Dar kwani ni ngumu aje kupata city clock, mumepost mapicha sijaona hata moja. Nairobi kila corner ziko.
EidVfX8XkAAtH0a


Ef9bqqBWsAEs-WV

Ef9buTBWAAAPOAD
 
Back
Top Bottom