Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umeandika makala ndefu lakini umesahau source ambayo ni Mama Ngina.

Alafu mnataka Watz waje Kenya for vacation hivi unaakili kweli wewe? Hakuna kitu chochote kipo Kenya kikakosa kuwepo Tz lkn kuna vivutio vingi vipo Tz na huwezi kuviona East and Central Africa if not all over the world, ss Watz waje Kenya kufanya nn, labda kutalii ma slums ambayo huku kwetu hamna.

Si lazima mje Kenya. Tembeeni popote.
Shida, hamna pesa ya kutembea popote nje ya Tanzania. Poor as poor gets.

Shilingi yenu ya madafu ikibadilishwa dola nchi ya nje, pesa ya matumizi ya mwezi Tanzania inamalizwa kwa siku moja.
 
🀣🀣🀣🀣 Hasira ya kuwa na weighbridges 9 huku Tanzania ikiwa na zaidi ya 70 ndio mnataka kunimalizia?

Mimi nisijue virtual weighbridges? 🀣🀣🀣🀣

Weigh in motion ndio hiyo virtual na zipo 10 tayari, moja wapo hii hapa, bado kufungwa cameras tu

View attachment 2047337
Hizo zingine 9 ni gani na ziko wapi, jibu hii swali ukijua kwamba nimepitisha lorries kadhaa hapo tz🀣🀣🀣
 
Fala anapost static weighbridge eti ni virtual, ni camera tu hakuna. Since when virtual Weighbridge ikaundwa kando ya barabara na gari hazifai kusimamishwa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mshamba sana huyo.
Acha kuwa mshamba lazima kuwe na gate la kuzuia overweighted vehicles, hiyo ni checkout point na huwa open kama upo normal, bridge yenyewe ipo nyuma ya hiyo point
 
Hizo zingine 9 ni gani na ziko wapi, jibu hii swali ukijua kwamba nimepitisha lorries kadhaa hapo tz🀣🀣🀣
Yes atuonyeshe tuone kama washa install cameras kwa hizo zingine tisa pia. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
 
I'm talking of tourists.
Not omba ombas and hawkers.

Also, you'll never hear Kenyans grouped together with Nigerians and Tanzanians by the xenophobic South Africans, because the Kenyans who actually work there don't compete with poor South Africans hawking on the streets.

They work in big offices as professionals.
Ulisema kuna wakenya wengi in SA zaidi ya Watanzania, sasa naona unatafuta pa kutokea

SA tunaenda na basi
 
Innovation tumewaacha
ICT tumewaacha
Social development tumewaacha
Human Development index tumewaacha
Quality of education tunewaacha

Yani hawa ni kujifurahisha tu
Haya mambo bhana yanachekesha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ innovation .? Kenya.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ICT kwa kweli mimi sio mwerevu wa hizo mambo

Social development ni kitu ambacho tumewaacha nyuma hamtuwezi huku kabisa coz hakuna social development bila kuwa na social services za kutosha.. kaa chini jitathmini, je nani mkali wao kwenye hizi mambo.

Human development/ individual development, huku ndio hamtuwezi kabisa, maskini wa mwisho tanzania huwa ni yule ambae ako na malnutrition while in Kenya ni yule ambae he/she suffering from starvation (them ain't afford food to eat) , yani hana chakula kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. lakini tukija kwa matajiri tz iko na namba kubwa ya matajiri Γ—3 ukilinganisha na kenya.. sasa sijui ni huma development gani unaizingumzia hapa

Quality education.? In Kenya.? Hii hii elimu inayozlisha vilaza wa kuangusha magorofa kila uchao.? Elimu inayozlisha viongozi wa ku sign bogas treat.? .. heb ona elimu ya tz πŸ‘‡
3035896_IMG_3346.jpg
SEDWW-950x534.jpg
1.-Front-View.jpg
maxresdefault(42).jpg
maxresdefault(17).jpg
maxresdefault(16).jpg

Hiyo miradi hapo imefanywa na watanzania wenyewe, hivyo ni vielelezo vya ubora wa elimu yetu, sijatumia maneno ila vitendo, elimu ni matokeo sio maneno. Kila siku blah blah, sijui nani kasema, sijui nani kaandika lahasha, ubora wa elimu nimatokeo
 
Acha kuwa mshamba lazima kuwe na gate la kuzuia overweighted vehicles, hiyo ni checkout point na huwa open kama upo normal, bridge yenyewe ipo nyuma ya hiyo point
Ebu tuone hio bridge. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Leo umenimaliza na kicheko. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yani virtual Weighbridge yenu hadi ikona gate. Wow that's very unique. πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya mambo bhana yanachekesha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ innovation .? Kenya.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ICT kwa kweli mimi sio mwerevu wa hizo mambo

Social development ni kitu ambacho tumewaacha nyuma hamtuwezi huku kabisa coz hakuna social development bila kuwa na social services za kutosha.. kaa chini jitathmini, je nani mkali wao kwenye hizi mambo.

Human development/ individual development, huku ndio hamtuwezi kabisa, maskini wa mwisho tanzania huwa ni yule ambae ako na malnutrition while in Kenya ni yule ambae he/she suffering from starvation (them ain't afford food to eat) , yani hana chakula kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. lakini tukija kwa matajiri tz iko na namba kubwa ya matajiri Γ—3 ukilinganisha na kenya.. sasa sijui ni huma development gani unaizingumzia hapa

Quality education.? In Kenya.? Hii hii elimu inayozlisha vilaza wa kuangusha magorofa kila uchao.? Elimu inayozlisha viongozi wa ku sign bogas treat.? .. heb ona elimu ya tz πŸ‘‡View attachment 2047379View attachment 2047380View attachment 2047381View attachment 2047383View attachment 2047386View attachment 2047387

Hiyo miradi hapo imefanywa na watanzania wenyewe, hivyo ni vielelezo vya ubora wa elimu yetu, sijatumia maneno ila vitendo, elimu ni matokeo sio maneno. Kila siku blah blah, sijui nani kasema, sijui nani kaandika lahasha, ubora wa elimu nimatokeo
Hivi vipicha ndio unatumia as facts for your points, wewe jamaa ni kilaza tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hamna, najua weighbridge zenyu kadhaa vizuri sana, wacha wivu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahyo kumbe mwanangu JENPAULITE kelele zote zile za virtual weight bridges, kumbe weight bridges zenyew mnazi 9 nchi nzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naakati tz kila mkoa zipo na kuna mikoa zipo zaidi ya mbili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, wakenya bhana .. halafu kila siku tunapigizana kelele kuhusu habari ya barabara za lami πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa huwa zinatumikaje.? Au hayo maeneo mengine Kenya hakuna shughuli za biashara zinazoendelea.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Oya The best 007 Mimi hii discussion na hawa mbwa inafurahisha sana
 
Hamna virtual weigh bridge hata moja, leta ushahidi mkona any functioning weigh bridge hapa, zenyu bado lazima ukanyage mizani kupima both axle load
 
Haya mambo bhana yanachekesha sana innovation .? Kenya.?

ICT kwa kweli mimi sio mwerevu wa hizo mambo

Social development ni kitu ambacho tumewaacha nyuma hamtuwezi huku kabisa coz hakuna social development bila kuwa na social services za kutosha.. kaa chini jitathmini, je nani mkali wao kwenye hizi mambo.

Human development/ individual development, huku ndio hamtuwezi kabisa, maskini wa mwisho tanzania huwa ni yule ambae ako na malnutrition while in Kenya ni yule ambae he/she suffering from starvation (them ain't afford food to eat) , yani hana chakula kabisa .. lakini tukija kwa matajiri tz iko na namba kubwa ya matajiri Γ—3 ukilinganisha na kenya.. sasa sijui ni huma development gani unaizingumzia hapa

Quality education.? In Kenya.? Hii hii elimu inayozlisha vilaza wa kuangusha magorofa kila uchao.? Elimu inayozlisha viongozi wa ku sign bogas treat.? .. heb ona elimu ya tz View attachment 2047379View attachment 2047380View attachment 2047381View attachment 2047383View attachment 2047386View attachment 2047387

Hiyo miradi hapo imefanywa na watanzania wenyewe, hivyo ni vielelezo vya ubora wa elimu yetu, sijatumia maneno ila vitendo, elimu ni matokeo sio maneno. Kila siku blah blah, sijui nani kasema, sijui nani kaandika lahasha, ubora wa elimu nimatokeo
what's your human development index like?
 
Hizo zingine 9 ni gani na ziko wapi, jibu hii swali ukijua kwamba nimepitisha lorries kadhaa hapo tz🀣🀣🀣
Mwingine upo Vigwaza

MADEREVA WAFUNDWA NA TANROADS KUHUSU MZANI WA KISASA WA VIGWAZA​

4
Meneja wa Wakala wa Barabara mkoani Pwani Eng. Tumaini Sarakikya akielezea ufanisi wa mzani wa vigwaza kwa waandishi wa habari (pichani) ambao unapunguza foleni pamoja na rushwa kwa watumiaji wa mzani huo.
5
Msimamizi wa Mzani wa Vigwaza, Godo Biwi akionesha jinsi mzani huo unavyofanya kazi kwa njia ya teknolojia kwa uwazi na uharaka.
1
Eng. Japhet Kivuyo kutoka kitengo cha mzani wa Vigwaza mkoani Pwani akifafanua jambo kwa waandishi wa habari waliotembelea mzani huo jana jijini Dar es salaam.
2
Taa ya mzani wa Vigwaza ikielekeza gari lililobeba mzigo mzito kupinda kushoto kwa ajili ya ukaguzi wa kina. Changamoto kubwa iliyopo madereva hawafati taratibu za taa na wengine hawazielewi.
3
Kamera zilizounganishwa na Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) eneo la mzani wa Vigwaza zikirekodi matukio mbalimbali yanayotokea katika eneo hilo ili kutambua magari yanayotii na kuvunja sheria.

6
Baadhi ya magari yaliyozidisha uzito yakiwa yameegeshwa ndani ya mzani wa Vigwaza mkoani Pwani, ambapo gari litakaloegeshwa kwa kushindwa kulipa fidia baada ya siku tatu litalipa faini ya dola 20 kwa siku ambazo zitabadilishwa kwa fedha za kitanzania.

7

Akizungumzia utendaji kazi wa mzani huo Eng. Japhet Kivuyo, amesema takriban magari 1800 hupimwa katika mizani ya awali (weigh in motion sensor) ambapo asilimia 60 ya magari hayo hupimwa katika mizani kuu na asilimia 40 huruhusiwa kupita bila kupimwa baada ya kuonekana yamekidhi vigezo.
 
Back
Top Bottom