Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

finally this thread has gone back to the actual point of the thread.... comparing cityscapes.
 
Hurlingham
view-of-the-hurlingham-neighbourhood-from-the-doubletree-by-hilton-hotel-hurlingham-nairobi-ke...jpg
b74ada93a9e37d3b67e41c833b6a74fa~2.jpg
images(154).jpg
images(153).jpg
20210316_150022.jpg
2026c0111f3e625d5b78b63f1bd283c2.jpg
4032acc035de5bd56f1dbe9aa32e1609.png
20210306_172114.jpg
images(149).jpg
 
Leta ushahidi kwamba tuko nyuma yenu kwa hayo mambo niliyotaja. Mimi naweza kukuwekea ushahidi kwamba tuko mbele yenu kwa hizo vitu zote
Unaweza kuniletea ushahidi kwamba maskini wa kenya ni yule anaekufa njaa kwa kukosa chakula kabisa na kwamba sisi tupo kwenye kiwango Cha umaskini huo.? Unaweza kuniletea ushahidi kwamba kenya inatuzidi kwa namba ya matajiri.? Unaweza kuleta ushahidi kwamba kenya inatuzidi kwenye provision of social services.? (Social development). Au utatafuta link za kutengeneza kimbilio lenu kama ilivyokawaida.?
 
Nope. Western bypass and Southern bypass zinajoin hapo mbele at place called Gitaru, This one goes straight all the way to Uthiru then it becomes Waiyaki way.
I thought I knew Nairobi 😂 😂 😂. But again, there are just so many road construction projects going on around the city. It's easy to confuse these projects
 
Taratibu you starting chewing your own words, si mlisema ni marufuku kabisa, wooden poles are completely prohibited 20 years ago? Saivi ni 30% tu wakati hapa wooden poles kwenye procurement versus concrete, wooden zinaongoza!

View attachment 2046883
Nilivyoona wameweka maneno bila picha nikajua uongo . Ukiona mkunya kaandika maneno mengi bila evidence ya picha be careful
 
So Dar streets hazina benches za kutulia lazima utafute nearby park ndio uketi chini. 🤣🤣🤣🤣🤣
Sio wewe juzi kati kwenye battle ya recreational parks uliekataa kwamba hiyo sio park.? Vipi leo umeipitisha kuwa ni park.? Wakenya vioja mtaacha lini.?
 
Wale ambao Jaguar alilalamika kwamba Kuna watanzania wamejaa Kenya wanachukua biashara za wakenya kwahiyo wafukuzwe, Tanzania tulipokuja juu mkamfunga kwa wiki Moja, mnatuogopa Sana hamuwezi gusa watanzania huko Kenya
Ile kauli ya jaguar ingesemwa na mbunge wa Tanzania ingekua ndio wimbo wao . By the way wabongo wengi wa kawaida uwa hawajali sijui mkenya sijui mnani ? Hamnaga ubaguzi labda huanze kuwafanyia utata. Ndio maana hata wachezaji wanaotakaga nje kuja bongo starehe uwa zinawaharibu wengine hata wakiacha kucheza hawatamini kuondoka . Kuna siku niliona ambani mkenya anasema ilikuvyokua poa maisha ya kibongo
 
Unaweza kuniletea ushahidi kwamba maskini wa kenya ni yule anaekufa njaa kwa kukosa chakula kabisa na kwamba sisi tupo kwenye kiwango Cha umaskini huo.? Unaweza kuniletea ushahidi kwamba kenya inatuzidi kwa namba ya matajiri.? Unaweza kuleta ushahidi kwamba kenya inatuzidi kwenye provision of social services.? (Social development). Au utatafuta link za kutengeneza kimbilio lenu kama ilivyokawaida.?
Si hata wewe uende WB ama UNDP utengeze yako? Stupid bongolala
 
I like how you're a slave to us. Yani a mere MP says something in Kenya is discussed in your parliament. Huku hata Magufuli alikuwa amezoea kusema Kenya vibaya and there's no single time angepata airplay in Kenyan parliament. That's called influence. When you cough, others shiver.
Weka link magufuli akiizungumzia Kenya vibaya.
 
Sio wewe juzi kati kwenye battle ya recreational parks uliekataa kwamba hiyo sio park.? Vipi leo umeipitisha kuwa ni park.? Wakenya vioja mtaacha lini.?
Mimi sijawai battle na wewe kuhusu parks, ilikua monuments.🤣🤣🤣 Wewe hujielewi kunywa maziwa.Sreets za Dar hazina benches kama hizi kwani? Lazima utafute park ndio utulie.
2784050782_989ebe61d6.jpg
 
Acha matusi wewe akili ndogo. Jibu hoja kistaarabu .. uko kwenye matusi wala huniwez ila hatuko hapa kutukanana, jibu hoja mzee
Nijibu hoja za mtu ambaye anaamini data za mashirika za kimataifa zinaandikwa na wakenya? Mtu mjinga kama huyo si unamtusi tu huenda akili ikafunguka!
 
Ni jambo la ajabu sana mlevi kama wewe kusema eti mimi sijielewi .. while uko busy kupost vichuma uki claim ni MAENDELEO
Onyesha mahali nilibattle na wewe kuhusu recreational parks, Monuments pia uliishiwa ukaenda kutafuta hadi Tanga na Dodoma. Dar ni jiji la kishamba munabeba viti za plastic kuenda kukalia kwa streets za CBD. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom