Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania ndo wajinga Sisi tunahifadhi Miti but we exploit Tanzania forest inaitwa akili. People don't stop using tree poles sababu Ni mbaya they stopped because they destroy the environment but if we can source from Tanzania watumie tu za Miti coz no biodegradable I love that guy who said we source from Tanzania he is a very wise guy
Wewe ndio jinga, hujui kwamba hiyo miti huku tunalima Kama tunavyolima mahindi, tomato na machungwa?, We make money from tree plantations the same way you make money from tea, sugarcane plantations, due you destroy environment when you harvest sugarcane for your sugar industries?
 
Wale ambao Jaguar alilalamika kwamba Kuna watanzania wamejaa Kenya wanachukua biashara za wakenya kwahiyo wafukuzwe, Tanzania tulipokuja juu mkamfunga kwa wiki Moja, mnatuogopa Sana hamuwezi gusa watanzania huko Kenya
Wale wauza mitumba wa Gikomba? 🤣🤣 Wako pale Majengo wanaishi huko. Hawajafukuzwa. Tukiwa na roho mbaya kama nyinyi tuwafukuze mtajionea wakilia.
 
Sasa mbona unazungumzia kitu kilekile alafu unasema hatuna.? Heb leta kwanza iyo moja ambayo umeshaanza kufanya kazi tuione
He was very specific hadi akasema virtual weighbridge. Ila kwa ulimbukeni wako ukaja kutoa povu. Hizo normal weighbridges zinapatikana nchi zote duniani so don't make a fuss about them. We are talking about virtual weighbridges here. There's a very big difference
 
Largest wooden poles industry in Africa is in Tanzania



Largest concrete pole industry in the region is in Tanzania as well


Yani huna aibu kuniwekea video ya kutengeneza nguzo za mti? Yani kiwanda kilianza kutengeneza nguzo za mti 2016 ndio unatuwekea?🤣🤣🤣
 
Kama ambavyo hao raia wa Kenya hapo Namanga tuliwafukuza wakalalamika, mkijaribu kuwagusa hao watanzania hapo Gikomba, lazima tuwapige, ninyi mnatuogopa Sana
Tunawafukuzia nini, sisi hatuna roho za kichawi na kitoto, kwani wakenya ndio hawako tanzania?
 
Kuwa upinzani sio ndio upinge kila kitu akili ndogo wewe, .. hivi kwa akili zako, kuna nchi imewekeza na inaendelea kuwekeza kwenye masuala ya SGR hapa EA kuliko tz 1500km of rail roads? Kwenye masuala ya Anga je.? Sisi tumeshanunua ndege 17 jirani anamiliki ndege tatu chakavu, Kwenye mabarabara na Madaraja je.? Kwenye huduma za afya je.? Hizi sector ndio kipaumbele chetu, Wachina wanasema wao wanasema "ukitaka maendeleo tengeneza barabara kwanza" je kuna mkoa hapa tz kwasasa ambao haufikk kwa lami.? Ni taifa gani hapa EA ambalo serikali yake imewekeza kwenye nyanja zote hizo nilizotaja kwa weledi na ubunifu zaidi.? Hao wakina kenya si wanaingia mikataba ya hovyo kila siku.? Je nani Kati yetu yupo na kesho bora.? .. wewe jamaa uache kuwaza na matako...
Barabara hamtuwezi Wacha kujidanganya msee and health sector pia Wachana nayo we ongelea sgr Na brt pekee and investment of a country does not only rely on two infrastructures what about technology? What about innovation? Ict? Social development? Citizens wellbeing? Equality? Education. All your money mnarusha to few countable projects forgetting a country is more than just an sgr that will serve only a few of the citizens
 
Wale ambao Jaguar alilalamika kwamba Kuna watanzania wamejaa Kenya wanachukua biashara za wakenya kwahiyo wafukuzwe, Tanzania tulipokuja juu mkamfunga kwa wiki Moja, mnatuogopa Sana hamuwezi gusa watanzania huko Kenya
Wale ni ombaomba wa barabarani
 
Barabara hamtuwezi Wacha kujidanganya msee and health sector pia Wachana nayo we ongelea sgr Na brt pekee and investment of a country does not only rely on two infrastructures what about technology? What about innovation? Ict? Social development? Citizens wellbeing? Equality? Education. All your money mnarusha to few countable projects forgetting a country is more than just an sgr that will serve only a few of the citizens
Innovation tumewaacha
ICT tumewaacha
Social development tumewaacha
Human Development index tumewaacha
Quality of education tunewaacha

Yani hawa ni kujifurahisha tu
 
Kiswahili ni lugha ya Tanzania, Kiingereza ni lugha ya Waingereza
Thats funny tangu lini Kiswahili ikawacha kuwa a costal language ikawa lugha ya watanzania? Sasa hivi Kenya waanze kuongea kiharabu utasema kiharabu Ni lugha ya wakenya? Chenye unatumia Wacha kabisa Kiswahili Kwanza Somali Kenya Tanzania Hadi Mozambique all that coastal line invented Kiswahili Tanzania waliamua tu kukitumia as a national language si Chao Hilo ukumbuke... Kisukuma au kichaga au sijui lugha yako ndo yenyu
 
Back
Top Bottom