Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nawakumbusha tuu
20210809_165246.jpg
20201219_120207.jpg
20210102_190006.jpg
20210415_123724.jpg
20210623_165916.jpg
 
Is this the Rironi road that will end up at Mau Summit?

i am sure that spot cant go beyond 800 metres......Thika road is a 45 km 12 lane superhighway
Acha kuongelea vitu usivyovijua bro, hiyo barabara ndio inaitwa Morogoro road, inatokea katikati ya jiji, eneo linaitwa uhasibu university, mpaka kufika hapo ni 13 km long from CBD, ambapo inaenda mpaka Kimara mwisho ikiwa na six lanes (mbili katikati ni kwaajili ya BRT na nne kwaajili ya magari ya kawaida) and some section inaongezeka to 8 lanes, inafika mpaka Kimara mwisho, kuanzia Kimara mwisho ndio inaungana na barabara inaitwa Kimara-kibaha high way 19km .. kwahyo usijifanye unaijua Dar baba 😂😂😂
 
Mzee hivyo vipanya vimekatazwa mjini kitambo sana .. labda uniambie hizo mini buses zndio zinaruhusa ya kuingia mjini.. sina sababu ya kukudanganya mzee
Nimeona pia picha za tangazo la Vodacom enzi hizo wanatumia rangi ya blue kama utambulisho wao.
 
Rudia majibu yangu zwazwa wewe, huo utumbo wote uliotaja nimeujibu .. hakuna kitu mnatuzidi mzee .. sijui iyo ICT Ila kila ulichotaja hapo mko nyuma yetu tena by far
Leta ushahidi kwamba tuko nyuma yenu kwa hayo mambo niliyotaja. Mimi naweza kukuwekea ushahidi kwamba tuko mbele yenu kwa hizo vitu zote
 
Back
Top Bottom