Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Du ,nani kama Mchina😂
tunadeliva 🤣
1789656725056.png
 
Hio NHC ikijenga ata 2% ya inayojengwa Kenya through Affordable Housing Program, niambie nifunge account.
you mean avoidable hauses 🤣 🤣 🤣 sasa ulivo fala mmoja anajenga majengo ya biashara mwingine anajenga vyumba 🤣🤣 unataka NHC ajenge vyumba wakati uku kila mtu anajenga nyumba yake madame 🤣
 
Huyu CAF president yupo corrupt! Halafu anaropoka! Hamna nchi ipo more ready for CAF than Tanzania! Kuanzia infrastructure, accomodation, transportation, broadcasting u name it!
kwan is that a secret si inajulikana 🤣 🤣 🤣 si ndo maaana kaenda kukagua lupaso akitoka apo badala aende kukagua ule uwanja wa mishumaa anaenda kuongea na ruto for possibility of shifting it to rwanda
 
Huyu CAF president yupo corrupt! Halafu anaropoka! Hamna nchi ipo more ready for CAF than Tanzania! Kuanzia infrastructure, accomodation, transportation, broadcasting u name it!
Yani nyinyi Wabongo mnachekesha. Mtu asiposema nyie ndio number moja lazima awe anadanganya, amehongwa ama ana cooked data. 🤣 🤣 🤣
 
Yani nyinyi Wabongo mnachekesha. Mtu asiposema nyie ndio number moja lazima awe anadanganya, amehongwa ama ana cooked data. 🤣 🤣 🤣
ndo ukwel sasa 🤣🤣 hakuna city east africa ina transport bora kushinda dar kuanzia airport mpaka road mpaka ocean 🤣🤣🤣🤣 kama unayo ya zaidi ilete 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom