The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Pale pale [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Only in Kanairo.
![]()
Pale pale [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Only in Kanairo.
![]()
Kaishiwa huyo hana sehem ya kuonyesha tena kwahyo tutegemee picha mingi same locationKarudi pale pale, tukisema ka Nairobi kadogo mnalia[emoji116][emoji116] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2047944
Umeishiwa kama kawaida. Tulia dawa iingie, tunatibu wivu.Jamaa unarudi pale pale, picha moja different angles.View attachment 2047941
Jamaa anadanganywa na Google hiyo picha ni ya miaka 9 iliyopita hizo gari hata hazijulikani Tena Dar es SalaamJaribu kutulia na bado wengi wenu wanapanda hizi mawe.
![]()
![]()
Hawana chakuonyesha zaidi na Mimi nimedhamiria kuishi nae mpaka maxWatz mmeona ujinga wa Wakenya? Ni kwamba wanapiga picha eneo moja lkn different angles, cc tunapost maeneo tofauti tofauti lkn wao eneo moja different angles, hiki ndicho kitu nawasifu wakunya kwenye picha.
Akipost kaeneo kamoja anakuja kumalizia na vi apartments vya upande upande kamaliza, yn Tz ingekuwa Kenya hawa jamaa wangeistua dunia na maphoto ya BRT, cable bridges and modern SGR.
Just light effectsUmeishiwa kama kawaida. Tulia dawa iingie, tunatibu wivu.
![]()
![]()
![]()
Kaishiwa huyo hana sehem ya kuonyesha tena kwahyo tutegemee picha mingi same location
We hua na ujinga ya kuzaliwa ghorofa inaweza onekana hata more than 5 streets away.Karudi pale pale, tukisema ka Nairobi kadogo mnalia[emoji116][emoji116] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2047944
Jamaa anadanganywa na Google hiyo picha ni ya miaka 9 iliyopita hizo gari hata hazijulikani Tena Dar es Salaam
Enda uliza Baba Levo aliona live atakuambia nawe pia uache ubishi.Juat poght effects
Nothing
Wacaha excuse za kipuzi kama umeishiwa, ghorofa inaweza onekana hata 3 kilometers away. Mumezunguka hadi beach bado muingie kariakor sasa. 😂😂😂😂Watz mmeona ujinga wa Wakenya? Ni kwamba wanapiga picha eneo moja lkn different angles, cc tunapost maeneo tofauti tofauti lkn wao eneo moja different angles, hiki ndicho kitu nawasifu wakunya kwenye picha.
Akipost kaeneo kamoja anakuja kumalizia na vi apartments vya upande upande kamaliza, yn Tz ingekuwa Kenya hawa jamaa wangeistua dunia na maphoto ya BRT, cable bridges and modern SGR.
Hapo kuna vipanya hapo yani hivi 👇🤣🤣🤣 Eti Miaka tisa, hizi hata sahii bado ziko Dar.
![]()
Umeanza na mbwe mbwe kibao upepo ukakuishia njiani, unapost mitaa ilile kila wakati 😂😂😂😂 Nairobi ni tinny town tu mzee, najua tungeendelea zaidi ungeanza kupost estates 😂😂 na high waysWacaha excuse za kipuzi kama umeishiwa, ghorofa inaweza onekana hata 3 kilometers away. Mumezunguka hadi beach bado muingie kariakor sasa. 😂😂😂😂
Hii picha inanichekesha kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wacha story mingi, leta diaspora remittance ya Tanzania kutoka SA.
Mumekubali si mlikua mumekataa. 😂😂😂 Lazima mkimbzwe ndio mukubali, sisi hatujawai kata, kwanza tunapenda our matatu culture.Hapo kuna vipanya hapo yani hivi 👇View attachment 2048011.. sisi hatuwezi kuongea uongo mzee ndio kitu usichojua .. DSM hakuna vipanya kabisa vilishapigwa ban long time ago.. vitu utakutana navyo ni BRT buses na hizi mini buses tu 👇View attachment 2048015vipanya tulishasahau vinafanaje
Hii picha inanichekesha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umekuja kusaidia ndugu yako amabye hajui streets nini. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
![]()
![]()
![]()
![]()