Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawana Biashara Kenya, Sasa watafungiwa Nini.
Wale ambao Jaguar alilalamika kwamba Kuna watanzania wamejaa Kenya wanachukua biashara za wakenya kwahiyo wafukuzwe, Tanzania tulipokuja juu mkamfunga kwa wiki Moja, mnatuogopa Sana hamuwezi gusa watanzania huko Kenya
 
Every tender floated for power poles has a ration of 70% concrete and 30% wooden

Inashangaza sana kumbe ninyi kwa mwaka mnatumia 77k poles kuunganisha watu umeme wakati Tanzania kwa mwaka kiwanda kimoja tu kinazalisha 800k poles, Kenya ninyi bado sana kwenye issue ya umeme

Screenshot_20211216-202112.png
 
Hivi Tanzania ina space program? Maana Kenya inayo. Pia wakenya wamesha-launch a nano satellite into space. It’s orbiting Earth as we speak, and the whole project cost less than $2 million. Tanzania inashindwa wapi? Mbona hii nchi imelala kiasi hiki? What went wrong??

Niliongea juzi tu hapa kuhusu uhitaji wa wataalamu wengi zaidi nchini. Na nikatoa suggestion ya exchange programs za vyuo vyetu na vya nje ya nchi, au at least joint educational programs. Haya, wenzetu wanashirikiana na foreign universities ku-launch satellites huku sisi tupo usingizini. Why? Ndio Maana hata kwenye innovation index bado wanatupita.
Lengo lako unataka tuwe na space program ili tutatue tatizo gani ambalo ni kipaumbele kwasasa hapa Tanzania?, Mkuu kupanga ni kuchagua, hizi nchi zetu ni masikini Sana na uwezo wetu ni mdogo Sana wa kufanya Mambo mengi kwa pamoja, "space program" kwa nchi ambazo hata maji ya kunywa hayajawafikia wananchi wote, bado hakuna madawa ya kutosha, wananchi hawana chakula, bado barabara nyingi ni vumbi hazipitiki kipindi cha mvua, ni serikali isiyojitambua ndio itakimbilia kuwekeza katika space programs.
 
I have traveled far and wide, both in Kenya and outside.
Sijawahi pata Mtanzania anaye fanya biashara Kenya ama nchi ingine ya nje.

I've met Ugandans, Congolese, even Rwandese and of course Somali and Nigerians.
Wabongo bure.
Zero entrepreneurial spirit.

So, hakuna wakulalamika amefungiwa biashara Kenya. Labda omba omba.
Hahahaha, Jaguar alilalamika kwamba watanzania wamejaa Kenya wanachukua kazi za wakenya akataka wafukuzwe, Tanzania tukatishia kuivamia Kenya mkaogopa

baba levo hoy
Wakunya tuliwaeleza JF Dar ipo represented kwa chini ya 35% Yaani bado kuna maeneo mengi sana ya Dar hayajawekwa humu

Pia kuna mmoja wetu akasema Nairobi inaipita Dar kwa photography tu, Dar bado haijawa well photographed mathalan Wakunya wengi wanashangaa kuona kumbe Kigamboni ni one largest district tofauti na walivyodhani.
Baba levo ashasema mwenyeweee miaka ni ishiri na mitano ndio mtufikie, huyu bwana keshakuja kenya ...akajionea....akakubali...sasa hao bichi vidimbwi wengine waje wajioneee waache ubishi
 
wachaga wamejaa gikomb
Hahahaha, Jaguar alilalamika kwamba watanzania wamejaa Kenya wanachukua kazi za wakenya akataka wafukuzwe, Tanzania tukatishia kuivamia Kenya mkaogopa

Watanzania wanauza nguo na viatu kuukuu
 
Hahahaha, Jaguar alilalamika kwamba watanzania wamejaa Kenya wanachukua kazi za wakenya akataka wafukuzwe, Tanzania tukatishia kuivamia Kenya mkaogopa

Jaguar alilalamika mnajaza gikombaa market, unajua gikomba? Wachaga wamejaa huko
 
Kwani local supplier wana deliver concrete instead of wooden? Pamoja ni local suppliers but sourced from Tanzania
Tanzania ndo wajinga Sisi tunahifadhi Miti but we exploit Tanzania forest inaitwa akili. People don't stop using tree poles sababu Ni mbaya they stopped because they destroy the environment but if we can source from Tanzania watumie tu za Miti coz no biodegradable I love that guy who said we source from Tanzania he is a very wise guy
 
Tumeshakubaliana kwamba bado mnaconnect umeme kwa wooden poles au bado hatujaelewana?
Yes zikitoka Tanzania we connect Na wooden but if it's from Kenya we use concrete ndo tusiharibu mazingira yetu. We Tring to balance Na tulinde mazingira
 
Lengo lako unataka tuwe na space program ili tutatue tatizo gani ambalo ni kipaumbele kwasasa hapa Tanzania?, Mkuu kupanga ni kuchagua, hizi nchi zetu ni masikini Sana na uwezo wetu ni mdogo Sana wa kufanya Mambo mengi kwa pamoja, "space program" kwa nchi ambazo hata maji ya kunywa hayajawafikia wananchi wote, bado hakuna madawa ya kutosha, wananchi hawana chakula, bado barabara nyingi ni vumbi hazipitiki kipindi cha mvua, ni serikali isiyojitambua ndio itakimbilia kuwekeza katika space programs.
Watu wanakufa njaa pia na huduma za afya mbovu
 
Back
Top Bottom