Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kuwa upinzani sio ndio upinge kila kitu akili ndogo wewe, 😂😂😂.. hivi kwa akili zako, kuna nchi imewekeza na inaendelea kuwekeza kwenye masuala ya SGR hapa EA kuliko tz 1500km of rail roads? Kwenye masuala ya Anga je.? Sisi tumeshanunua ndege 17 jirani anamiliki ndege tatu chakavu, Kwenye mabarabara na Madaraja je.? Kwenye huduma za afya je.? Hizi sector ndio kipaumbele chetu, Wachina wanasema wao wanasema "ukitaka maendeleo tengeneza barabara kwanza" je kuna mkoa hapa tz kwasasa ambao haufikk kwa lami.? Ni taifa gani hapa EA ambalo serikali yake imewekeza kwenye nyanja zote hizo nilizotaja kwa weledi na ubunifu zaidi.? Hao wakina kenya si wanaingia mikataba ya hovyo kila siku.? Je nani Kati yetu yupo na kesho bora.? .. wewe jamaa uache kuwaza na matako...Kwa hiyo wao Ndio hawajawekeza kwenye afya na miundombinu? 😂😂
Sgr si mnasema ni fully funded by the government na ina gharama ya mabilioni ya dola? Inawezekanaje tunashindwa kuwa na space program?
Excuses juu ya excuses. Tanzania bado ni sleeping giant. Na pia wenzetu wanajaribu kufanya maendeleo kwenye sekta nyingi zaidi yetu. Technology and innovation ni muhimu mno kwenye ukuaji wa uchumi Na japokuwa bado wanaanza, ninawapa pongezi maana Sio jambo dogo.

