Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No photo description available.

Caroline Muthoni, 7 friends arrested after refusing to pay bill at Clarence  House Hotel | Pulselive Kenya

No photo description available.

Residential 2 bedrooms apartment for sale on Kitale lane - CommercialKe

May be an image of skyscraper and sky
No photo description available.
 
Onyesha video watanzania wakilalamika kufungwa kwa biashara na kufukuzwa Kenya, tukisema wakenya bila Tanzania uchumi wenu unasinyaa Huwa mnabisha, Kenyans need Tanzania than otherwise.

I have traveled far and wide, both in Kenya and outside.
Sijawahi pata Mtanzania anaye fanya biashara Kenya ama nchi ingine ya nje.

I've met Ugandans, Congolese, even Rwandese and of course Somali and Nigerians.
Wabongo bure.
Zero entrepreneurial spirit.

So, hakuna wakulalamika amefungiwa biashara Kenya. Labda omba omba.
 
Bone marrow transplant tu inawashinda mbwa nyie plus njaa inayowasumbua miaka nenda rudi.
Hivi Tanzania ina space program? Maana Kenya inayo. Pia wakenya wamesha-launch a nano satellite into space. It’s orbiting Earth as we speak, and the whole project cost less than $2 million. Tanzania inashindwa wapi? Mbona hii nchi imelala kiasi hiki? What went wrong??

Niliongea juzi tu hapa kuhusu uhitaji wa wataalamu wengi zaidi nchini. Na nikatoa suggestion ya exchange programs za vyuo vyetu na vya nje ya nchi, au at least joint educational programs. Haya, wenzetu wanashirikiana na foreign universities ku-launch satellites huku sisi tupo usingizini. Why? Ndio Maana hata kwenye innovation index bado wanatupita.
 
Huwezi kuwa bora kwenye kila kitu mzee, sisi tuliamua kuwekeza kwenye Afya na miundombinu (reli, anga na barabara) zaidi na ndio huko tutakua bora zaidi.. hayo mambo mengine tutayafanya sio kwa kubahatisha bahatisha kama wao
 
Kwa hiyo wao Ndio hawajawekeza kwenye afya na miundombinu? 😂😂

Sgr si mnasema ni fully funded by the government na ina gharama ya mabilioni ya dola? Inawezekanaje tunashindwa kuwa na space program?

Excuses juu ya excuses. Tanzania bado ni sleeping giant. Na pia wenzetu wanajaribu kufanya maendeleo kwenye sekta nyingi zaidi yetu. Technology and innovation ni muhimu mno kwenye ukuaji wa uchumi Na japokuwa bado wanaanza, ninawapa pongezi maana Sio jambo dogo.
 
Back
Top Bottom